Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais wa watu wote,
Hatuji kupata tena rais rafiki kama JK.
 
Dah! ng'onda.

Huyo kuliko pweza.

Ndio maana Bi Salma hapo mbio mbio zinamtoka! Performance matters.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah aha ha aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Si haba...... Angalau tunamuona kiongozi wa juu akiwa pamoja na watu wa chini kabisa! Viongozi wengine tuige tuachane na tabia ya kujisikia na UMIMI! Tumejifunza kitu.
 
hawa samaki nani anapima ubora wake? yeye amezoea mikuku kutoka ulaya mbona hajawahi kununua kigamboni wakati akitoka nje tu anaweza kuita samakiiii wakaitika na kumletea
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).

Hahahahahah...Mtani wangu siku hizi hizi hata 'habageni', akiambiwa bei yeye anamwaga mapesa..Hahahahaha..haya bana...Njoo pia na kijijini kwangu Nyamikoma basi ili uwaungishe Wasukuma....
 
Last edited by a moderator:
mwakani anapumzika ss lazima aanze kuzoea maisha ya mtaani mda mwingine kwenda sokoni na mama watoto.
 
Huyu Jamaa Kikwete ni Mpuuzi, na ndiyo anaendeleza Umaskini Nchini kwangu, alipaswa kwanza amuulize huyio muuza Genge kama analipa kodi, alipaswa amwambie huyo muuza genge ampe risiti ili kuonyesha kwamba anachangia kwenye Mapato ya nchi!
Huyu Jamaa sijui tulimtoa wapiiii??? arghhrr


wewe ndio kondoooooooooo kabisa, huyu muuza genge atatoa wapi receipts, kwanza kibanda kizima hakina hata ela ya kuprint receipt book moja,
 
Mimi kilichonivuta zaidi ni hali ya babu mwuza samaki. Hata shati lake ni la kuunga-unga!
 
Binafs nimejifunza kuwa Kikwete anapaswa kuuona umaskin wa watanzania wenzie,sio kuusoma kwenye ripot,alichokifanya huenda hata Madiwan wa hapo hawafanyi
 
Kitu nisichokifahamu: kweli hali hiyo inamridhisha? Binafsi nisingeweza kununua samaki pale!
 
mama salma akampike yeye mwenyewe...na wamle wote wawili kama dinner na ugali wa dona.
 
Back
Top Bottom