Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Ni sanaa hii!!! Kaingia kazini rasmi, sijui hiyo tamthiliya itapewa jina gani
 
huyu atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata.
Teh teh umeniacha hoi,ila yule mchuuzi alitaka hata asihesabu atie direct kwenye kibobo.
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS
Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika
kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi,
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari
Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).



Hii nimeipenda kwani sioni ubaya kwa Rais kununua samaki gengeni kwani nae ni mtu mwenye mapenzi na vitu fulani pamoja na yote(Madaraka, Itifaki, Siasa, Mitazamo ya watu ).
Kuna watu naowafahamu ambao wako Marekani na wamewahi kurudi Tanzania kuja kutafuta migebuka na ugali wa muhogo walivyovikumbuka baada ya kuvikosa huko kwa muda mrefu pamoja na Burgers, Tacos, Lamb chops, na pizza, wanazokula huko Marekani.
Huwezi kujua upenzi wake kwa samaki aliemfuata hapo gengeni, sioni sababu ya kupiga kelele kuhusiana na kitu kidogo kama hicho.
 
Last edited by a moderator:
NAKUAPIA hatoenda kuwala .

Tutajua vp kwamba hakula? Hivi watz mbona kila kitu mnakandya mwataka afanye nini?
Wengine waliokosa elimu kama mwkt wao wanauliza - sokoni amewauliza matatizo! Hivi siku zote mtu akiwa rais hata kwenye mechi wachezaji wana matatizo gani! akiwa sokoni - akiwa ..... Jamani tubadili mtizmo kuwa rais haitafisiriwi kuwa sasa umekuwa mtumwa!
 
Mnyonge mnyongeni sifa zake mpeni

Sifa gani hizo! Haya ni mambo ya akina Museveni kugawa pesa kwenye mikutano ya kisiasa. Mswahili ni uswahili tu! TZ hii ni hasara ya miaka 10.
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).


rais dr. kikwete ni rais bora sana. Naweza kumfananisha sana na prof. Tibaijuka katika kuchapa kazi za watanzania na kuwaletea maendeleo watanzania
 
Last edited by a moderator:
Usanii tuu!jee aliuliza matatizo ya wavuvi?

Kweli we bongo lala...kwani wewe unavyoendaga kununua malaya kwenye madangulo uwa unawauliza matatizo wanayokutana nayo malaya?....mfano kama kukamatwa na polisi/magambo pesa fake nk? Acha ufala eboo,tuachie prezidaa wetu.
 
Raisi Kikwete tutamkumbuka hasa kwa hili la kujishusha na kuwa karibu na wananchi, he is more than a friend kwa wananchi wake. big up kwa kweli, najua pia ilikuwa bonge la surprise kwa jamaa muuza genge amedaka almost laki na hamsini what a day kwenye biashara. big up sana hon Jakaya M Kikwete mungu akuzidishie maisha marefu.
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).


Tulisema hapa.Obama kaingia mtaani tusubiri kidogo na leo imetokea!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).




Huyu Jamaa Kikwete ni Mpuuzi, na ndiyo anaendeleza Umaskini Nchini kwangu, alipaswa kwanza amuulize huyio muuza Genge kama analipa kodi, alipaswa amwambie huyo muuza genge ampe risiti ili kuonyesha kwamba anachangia kwenye Mapato ya nchi!
Huyu Jamaa sijui tulimtoa wapiiii??? arghhrr

 
Last edited by a moderator:
hii nimeipenda sana, kama amelipa laki moja na elfu ishirini sio mchezo bei ya samaki au ndio kampa na niongeza kujazia mtaji wa genge..tukio halikupangwa anunue wapi ila alijiandaa kufanya kitu ndio maana akawa na kiasi cha pesa mfukoni.
 
Back
Top Bottom