Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Jamaaa akistaafu akajiunge bongo movie au mjomba band
 
Nadhani akimaliza urais ataua msanii namba 1
 
mfano mzuri sana, atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata. mwezi uliopita obama alishangaza wapita njia baada ya kuonekana akitembea mtaani.

Siaje basi na huku kwetu arusha kama mitaa ya sombetini, kaloeni na ngaranaro
 
Mh. Kikwete ni mtu wa kawaida saaannnaaaa. Kinacho mponza ni chama chake. Na anaogopa sana akina Mkapa na Ali hassani kwa kuwa hawa walikuwa ni mabosi wake. Lakini kuwa ni binaadamu, ni mtu mwema tu.
 
Hatutamsahau kwa mabaya anayowafanyia watanzania, kuivuruga katiba ambayo ndio msingi wa maisha ya kila mtu hata wasiokua na vyama na wasiokuwa wanasiasa

Ni kiongozi legelege haijawahi kutokea katika historia ya maisha ya Watanzania.
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).



Hatudanganyiki anunue samaki ili iweje?
 
Last edited by a moderator:
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!

Hiyo ni image si video utamsikiaje? Na hayo maswali kawaida huulizwa bungeni.
 
Back
Top Bottom