OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Nina mashaka kama hiyo pesa ataitumia
Ha ha haaaa we mswahili "mwenzetu" kabisaaaa nikiwaza hilo jamaa anaweza zichongea fremu ujue!!!!!!
Ukuta wa sebuleni kabaaaang!!!
Nina mashaka kama hiyo pesa ataitumia
NAKUAPIA hatoenda kuwala .
mbona unapenda sana udini dada, uswahili ndio uislam?
Rais wa kuigwa. Kuna watu wanaenda Dubai kununua samaki.
Sema tu Uislam, ya nini unauma maneno?
Atakua ni Mushi tu sema kwa vile ni katoto kameongezea madoido.....Vitoto vidogo vingi JF, tena huyo si "Mushi" ni "mushy".
Kwi kwi kwi teh teh teh.
We hujui kiume pesa!!!!Hivi mkuu wa mji huwa anatembea na noti, au ilikuwa kwa ajiri ya photo-op?
Na mbona kila mtu anatoa zake?
Nataka nilete posa kikongwe wanguKamuulize mama'ko, au uliokotwa jalalani?
CV yake unaijuwa au unahororoja tu? Hajawa mwalimu wa shule huyo wala mwandishi wa habari. Kama waliomtangulia. He was born a leader.
rais dr. kikwete ni rais bora sana. Naweza kumfananisha sana na prof. Tibaijuka katika kuchapa kazi za watanzania na kuwaletea maendeleo watanzania
hata walinzi wenyewe watawatupa.
mimi naona ni jambo jema alilofanya rahisi, nikuonyesha kuwa yuko karibu na wananchi. ila ingenoga zaidi kama angeomba apunguziwe bei. kuliko kuambiwa bei na kulipa mara moja.Ni sanaa hii!!! Kaingia kazini rasmi, sijui hiyo tamthiliya itapewa jina gani