FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Kikwete kinacho mponza ni uswahili tu.
The king.
Sema tu Uislam, ya nini unauma maneno?
Kikwete kinacho mponza ni uswahili tu.
The king.
Mh. Kikwete ni mtu wa kawaida saaannnaaaa. Kinacho mponza ni chama chake. Na anaogopa sana akina Mkapa na Ali hassani kwa kuwa hawa walikuwa ni mabosi wake. Lakini kuwa ni binaadamu, ni mtu mwema tu.
Kweli ni pweza, Salma anakwenda kumtengenezea supu.
hahaaa...
na barabara zina foleni
Wewe ajuza mapigo ya pweza bado unayahimili?Si pweza yule, ni ng'onda.
Wewe ajuza mapigo ya pweza bado unayahimili?
Sema tu Uislam, ya nini unauma maneno?
Ikiangalia hiyo video anaonekana alipoingia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah! ng'onda.
Huyo kuliko pweza.
Ndio maana Bi Salma hapo mbio mbio zinamtoka! Performance matters.
NAKUAPIA hatoenda kuwala .
We Mushi sisi wachaga huwa hatuandiki kama ulivyoandika hapa..... (xixi ndio unamaanisha nini?)