OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Nimecheka saana; uko sahihi mkuu
Senkyu!!!!
Maana ukitaka kula kila ununuacho si itakuwa kazi!!!!!
Baba unaishi ili wengine waishi vizuri zaidi!!!
Nimecheka saana; uko sahihi mkuu
Senkyu!!!!
Maana ukitaka kula kila ununuacho si itakuwa kazi!!!!!
Baba unaishi ili wengine waishi vizuri zaidi!!!
Umenifrahisha; umethink critically mkuu. Huyo ndo baba haswa.
Nauliza tu mpiga picha alikuwa ndani ya genge? kama ndio inamaansha hii pcha ilipangwa au?
mfano mzuri sana, atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata. mwezi uliopita obama alishangaza wapita njia baada ya kuonekana akitembea mtaani.
Mnyonge mnyongeni sifa zake mpeni
Hivi wewe huwezi kutoa comment isiyo na chembechembe za udini? unaboa sana
bora mchawi kuliko mnafiki
Huwezi kutoa sifa kwa tabia isiyo na maana kama hii. Kama ni kuchangayika na wananchi hakuna anayemzidi Idd Amin.
Idd Amini alicheza ngumi, alishindana kuogelea, alishiriki riadha, nk. sema wewe mwenyewe aliishia wapi kichaa huyo?