Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Kwahiyo kikwete ni kama demu alietamaniwa na kina obama mm cmo
 
Hawana matatizo ndio maana samaki wanapatikana gengeni.[/QUOTE
akili nyepesi!!

Hivi wewe ndugu, kila muuza samaki kwako ni mvuvi? Huyo jamaa gengeni ana bidhaa kibao kwa hiyo yeye ni mzalishaji wa hizo bidhaa zote? Wale akina mama wauza samaki ni wavuvi? Muda huo JK anapita hapo wavuvi watakuwa aidha wamelala au wanaandaa nyavu na vifaa vingine vya kuvulia, nasema haya kutokana na uzoefu sio wa kuvua bali kuishi kando ya maziwa makubwa hapa Tanzania.
 
Mbali na mambo mengine ya ki-CCM ... Kiukweli Jakaya ni mtu wa kawaida sana! Pengine ndo maana anapendwa tu, bila sababu za msingi ..
 
Kikwete+kitoweo.JPG

RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).

Rais wa namna hii mtamkumbuka, hapa alikuwa anapita pengine kuangalia na kuuliza hali ya biashara kwa wananchi au wapiga kura wake, huu ni mfano wa kuigwa
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ndugu, kila muuza samaki kwako ni mvuvi? Huyo jamaa gengeni ana bidhaa kibao kwa hiyo yeye ni mzalishaji wa hizo bidhaa zote? Wale akina mama wauza samaki ni wavuvi? Muda huo JK anapita hapo wavuvi watakuwa aidha wamelala au wanaandaa nyavu na vifaa vingine vya kuvulia, nasema haya kutokana na uzoefu sio wa kuvua bali kuishi kando ya maziwa makubwa hapa Tanzania.
mkuu kuna watu humu jamvini fikra zao hata mbuzi ana nafuu, hawajiulizi si wadadisi hata.
 
Back
Top Bottom