Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Ushawahi fika tongoni?
DSC00102.JPG

Picha hii nilipiga kwa mkono wangu.
 
Hii nimeipenda kwani sioni ubaya kwa Rais kununua samaki gengeni kwani nae ni mtu mwenye mapenzi na vitu fulani pamoja na yote(Madaraka, Itifaki, Siasa, Mitazamo ya watu ).
Kuna watu naowafahamu ambao wako Marekani na wamewahi kurudi Tanzania kuja kutafuta migebuka na ugali wa muhogo walivyovikumbuka baada ya kuvikosa huko kwa muda mrefu pamoja na Burgers, Tacos, Lamb chops, na pizza, wanazokula huko Marekani.
Huwezi kujua upenzi wake kwa samaki aliemfuata hapo gengeni, sioni sababu ya kupiga kelele kuhusiana na kitu kidogo kama hicho.
Anawapenda hao samaki kiasi kwamba haamini hata wasaidizi wake,yes maana akiwatuma watachakachua-hawataleta aina ya samaki anayoitaka yeye-This is another THT product
 
Huwezi kutoa sifa kwa tabia isiyo na maana kama hii. Kama ni kuchangayika na wananchi hakuna anayemzidi Idd Amin.

Idd Amini alicheza ngumi, alishindana kuogelea, alishiriki riadha, nk. sema wewe mwenyewe aliishia wapi kichaa huyo?

Unajua hobi lakini au chuki kama umekwamwa na mwiba wa huyo samaki???!!
 
Huyu jamaa muhuni sana eti anauliza unamjua huyu ni samaki gani?..................................nimecheka sanaaaaaanijipojua kuwa ni PAPA.......................!!!!!!!!!!!!!!
 
Duu, mzigo ( samaki) alionunua ni shea ya mboga kijijini kwa wiki tatu. Watu wa Bweni wata lumanga chakula bila mboga
 
kiasi mlichojengewa uaminifu mdogo na ccm hata rais anaonekana ni zaid ya yesu kristo hata zaidi ya mtume muhamad
 
Unajua hobi lakini au chuki kama umekwamwa na mwiba wa huyo samaki???!!

Hobi! Hobi! NERT!
Anachofanya ni nini sasa? eleza ueleweke ili tukupe Dunia inavyokwenda. Sisi hatuishi kwa kubahatisha au kushabikia uozo.

Kama ni kutembea mitaani anamzidi Olof Palme? (google umujue huyu ni nani). Aliposikia Obama anaingia kwenye BBQ naye kaiga kununu ng'onda, wewe na wenzako munatoa meno! Shiiiiit!
 
Huwezi kutoa sifa kwa tabia isiyo na maana kama hii. Kama ni kuchangayika na wananchi hakuna anayemzidi Idd Amin.

Idd Amini alicheza ngumi, alishindana kuogelea, alishiriki riadha, nk. sema wewe mwenyewe aliishia wapi kichaa huyo?

Waganda mpaka kesho wanamkumbuka Idd Amin, fitna ya Nyerere a.k.a mchonga meno ndio iliomtoa, lakini kawasaidia sana waganda huyu. Mungu Amrehemu
 
Halafu yeye kununua ng'onda tu mpaka aende na shooters? au alikuwa location anashoot movie?
 
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).



kwani Raisi anajihudumia au anahudumiwa NA kodi zeta kwa 100%?
 
Last edited by a moderator:
Halafu yeye kununua ng'onda tu mpaka aende na shooters? au alikuwa location anashoot movie?

Nakwambia ccm safari hii wataingia hata vyoo vya stend watapanda daladala za mbagala watakunywa mataptap ili tu watanzania wawaone kuwa wanawajali ili tatizo ni kuwa wamekumbuka shuka wakati usiku ushaisha watanzania washaamka hawadanganyiki tena na urafiki wa mara moja kila baada ya miaka mitano:A S 103::A S 103::sleep:
 
Wacha kuingia vyoo vya stendi watachimba makaburi kila wakisikia MTU kafa Kinana alipanda bajaji na baiskeli pia kula gengeni eti kujifanya yuko karibu na wananchi
 
Amemuiga Obama, mwezi uliopita alitembea mtaani akanunua hadi Burger na kulila kabisa
 
hawa samaki nani anapima ubora wake? yeye amezoea mikuku kutoka ulaya mbona hajawahi kununua kigamboni wakati akitoka nje tu anaweza kuita samakiiii wakaitika na kumletea

Tumia akili kigamboni unaposema hapauzwi samaki wakavu kama hao
 
Back
Top Bottom