Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,567
Urafiki na Mchina ni sawa na urafiki wa Panya na Paka.Hawa waarabu wa Gulf hawawezi kabisa kusaidia kwa njia ya kivita kwani wao wenyewe wanaogopa kupigwa na uwezo wa kupigana hawana.
Mashariki ya Kati hapo wamebaki kama wasuluhishi tu
Na kama ukienda Qatar wao kazi Yao ni kujionyeaha tu
Makundi yakipigana anawaita wote na kujifanya anawasuluhisha
Baada ya hapo anawapa majumba ya kudumu wote
Wapo mpaka Taleban, Alshabab, na hata Hamas
Pia Mr Slim nae ana nyumba Qatar ya kupewa pamoja na Rais wa DRC
Kuna wakati waliitwa wakasuluhishwa Baada ya hapo wakapewa na mijengo
Sijui na mimi nikinukishe na nani halafu tukapatanishwe huko
Mchina sio yule kweli hawa ni wapya kabisa na wenye tamaa ya kula tu
Maslahi mbele ukitaka viwanda watakupa ni wewe tu na mfuko wako.
Yaani ni bora kujiimarisha haswa na pia kuwa na marafiki ambao wanaweza hata kukupa msaada mkubwa ukiwahitaji ila sio wale wa zamani
Vifaa vyao wanapitisha wapi?Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Ni kweli Mkuu hao kaskazini hawatuzidi kimaisha isipokuwa silaha zao tuYoote haya uliyo eleza humu, yote yanaanzia ndani ya nchi husika; nchi kujitambua na viongozi wao kujuwa kuwa hatma ya nchi hiyo ni ya wananchi wenyewe na viongozi wao; haya mengine ya marafiki, amoja na kuwa ni muhimu, lakini yote yanategemea nchi inavyo jisimamia yenyewe.
Tuchukue mfano mgumu sana wa nchi, kama ninavyo ihisi hii hoja.
Israel. Pamoja na kuwategemea sana wamarekani na nchi za magharibi kwa ujumla; hasa katika mambo ya ulinzi wao, viongozi na wananchi wa nchi hiyo hawakujikabidhi moja kwa moja kwa hao watoa misaada kwao. Nimesema huu ni mfano mgumu sana, lakini sioni mfano mwingine ulio rahisi kukielezea ninacho kifikiria kama wajibu wa viongozi na wananchi wa nchi kama mfano sahihi wa kueleza hoja.
Nikisema Korea Kaskazini, najuwa 'roaganda' zimewachukua na kuwazoa watu wengi kuona kuwa nchi hiyo ni karibu kabisa na jehenamu; lakini, kiukweli; amoja na maungufu mengi ya mfumo wao; hawa huwezi kusema ni watu waliojikabidhi kwa wengine, kama tunavyotafuta sisi kujikabidhi.
Tuseme ukweli, Korea Kaskazini inaizidi nini Tanzania ambacho kinawazungusha akili hata akina Trum?
Nazitaja hizi nchi mbili mahsusi, hasa katika hili tunalolijadili kwenye mada hii; bila ya kusisitiza hayo mengine ya kiuchumi, n.k..
Mchina alikuwa wa zamani wakati wa Mao ila hawa ni makanjanja zaidi yetuUrafiki na Mchina ni sawa na urafiki wa Panya na Paka.
EEEEeeeenHEEEEeeee!Ni kweli Mkuu hao kaskazini hawatuzidi kimaisha isipokuwa silaha zao tu
Yaani wamewekeza kwenye silaha ila ukishikwa na Cadbury chocolate unafungwa
Maisha yao hayana uhakika kabisa
Hao hawafai kabisa
Matapeli wakubwaMchina alikuwa wa zamani wakati wa Mao ila hawa ni makanjanja zaidi yetu
We ulimpima hiyo sarataniApambane na kansa yake inayomtafuna kwanza
Mkuu najua ni kama jokes vile ila huko kuna vitu ukikamatwa navyo unaweza kufia jela.EEEEeeeenHEEEEeeee!
Mkuu 'Black Sniper' Bhwana. Umenifanya nicheke mwenyewe!
Kuna umuhimu wa kujuwa usahihi wa taarifa za hawa watu. Nyingi ya taarifa zinazotolewa huku nje ni za kizushi sana.
Hatuhitaji kuiga mengi ya wanayo yafanya; lakini yao mengi ia tunayoweza kujifunza toka kwao kama nchi.
Sina uhakika juu ya hilo la 'cadbury', lakini ndivyo vita hizo wanazokutana nazo kaika kutafuta wanayoona wao kwao yanawafaa.
Si hata huko kwa kina Trum, amoja na demokrasia yote ile, sasa kuna watu wanaona demokrasia yao haitoshi! Trum anavunjavunja 'illusion' ya mfumo huo. Kwa hiyo kila mahali kuna kazi ya kufanya na kurekebisha
Ni taarifa kama hizi ninazozizungumzia mkuu 'Sniper'.Mkuu najua ni kama jokes vile ila huko kuna vitu ukikamatwa navyo unaweza kufia jela.
Kisa Una promote bidhaa za magharibi ambazo ni marufuku
Huwa wanavusha kwa magendo kutoka kwa wenzao
Kiduku hana utani na hili linajulikana tangu zamani
Soma hii habariView attachment 3398526
Uvamizi sikuhizi unaanzia kwenye mifumo ya ulinzi na intelijensia kimyakimya. Akisha wamaliza huko ndo anaanza kuwachokonoa mkijaa tuYeye anatoaga vitisho wenzake wapo kimya hata hawamjibu.Kama anajiamini sana si avamie awashikishe adabu. Siyo kila siku anatoa vitisho kisa anawasumbua wakongo ambao nao wamegawanyika na hwana umoja.
Ni kweli kabisa Mkuu, nimekuelewa vizuri sana.Ni taarifa kama hizi ninazozizungumzia mkuu 'Sniper'.
Wanaotengeneza taarifa za namna hiyo hawana tofauti sana na hao waliomo ndani ya Korea Kaskazini wenyewe wanaofunga akili za wenzao!
Usisahau kuna taasisi maalum hao Kusini zinazoshughulikia kila aina ya misinformation juu ya majirani zao hao Kaskazini.
Hawa wote wamo vitani.
Lakini nikukumbushe vilevile, ni miaka michache tu iliyoita; China yenyewe ilikuwa ikisemwa hivyo hivyo.
Mtu toka nje unaosoma taarifa za aina hizo, ni juu yako kuchuja; kuendana na unavyotaka kuitumia akili yako mwenyewe.
Ninakuelewa vyema, kwa muda kitambo nilioata kukusoma humu JF.Hata sisi kuna watu wanajua ni nchi moja yenye amani sana na utulivu.
Nitajitahidi sana kuangalia kwa jicho la tatu mambo sasa
Tuombe Mungu sana, mabadiliko ni muhimu sana kama Taifa.Ninakuelewa vyema, kwa muda kitambo nilioata kukusoma humu JF.
Tusiikatie tamaa Tanzania yetu. Nchi hii ina'otential' ya ajabu sana tukifanikiwa kuwa na uongozi sahihi.
Miaka 60 ni kama tumeichezea tu bila kujuwa tunataka nini. Itasikitisha sana kama 60 mingine (nina hakika sitakuweo); na yenyewe itaotea tu hivi hivi.
Zinanunulika kama nia na dhati ipo..Wanaombeza au kukaa kimya basi hawajui uwezo wake huko frontier.
Hana huruma huko anavuna kokoto na anaesimama mbele yake anawamaliza.
US huwa anakuvunja nguvu kwa juu kwanza halafu anatengeneza wa kuja chini
Waafrika wengi kununua midege ya kivita ni ndoto
Zamani uchumi ulikuwa juu kwa sababu ya Muzungu, tukaweza kumudu kidogo.
Kwa mfano F-22 jet ni $350m na F-35 ni $115m
Tukipambana tunaweza
Tena zipo ila zinaingia kwenye mifuko ya wachacheZinanunulika kama nia na dhati ipo..
WEWE UNACHEZA NA KAGAME? YEYE JESHI LK LIKO KAZIN MUDA WT WKT HW WENU WAKILA CHIIPS NA KUNENEPEANA,Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Na wananenepa kweli kweli.WEWE UNACHEZA NA KAGAME? YEYE JESHI LK LIKO KAZIN MUDA WT WKT HW WENU WAKILA CHIIPS NA KUNENEPEANA,
Siyo Kila kitu Cha kijeshi kinaponunuliwa kinafanyiwa maonyesho...vitu vingine ni Siri ya nchi...ngoja nikuambie TU kwa lugha nyepesi.Drone hizo za Tanzania zilinunuliwa kutoka nchi ipi? ni model ipi? zina uwezo upi picha ?