Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,002
- 5,824
Ajabu Sana nchi nyingine ni Kama mkoa mmoja.
Halafu nyingine uchumi wa Kati, nyingine uchumi wa ngapi vile?
Halafu chief Hangaya msalimie Mzee wa Msoga.
Umepanic
Ajabu Sana nchi nyingine ni Kama mkoa mmoja.
Halafu nyingine uchumi wa Kati, nyingine uchumi wa ngapi vile?
Halafu chief Hangaya msalimie Mzee wa Msoga.
Bwashee ushauri wako nimeupokea!Kwa kweli kuna kila sababu ya wazee wa CCM asilia kuwafunda hawa UVCCM wa miaka ya 2000, namna ya kufanya "propaganda" yenye hoja.
Mkuu Pohamba , FaizaFoxy na johnthebaptist ,tafadhalini wafundisheni hao vijana wenu juu ya ujengaji wa hoja.
Ukiachia mbali ulinganifu wa 59 kwa 9 huo ni ujinga wa kupindukia.
Unasema PK kwa mwaka huo ni 59 na bimkubwa hata mwaka hana ana safari 9, sasa unalinganisha kitu gani ?.
Msafara wa Magu ulikuwa na magari mpaka helkopta za kejeshi ni gharama kubwa sana kuliko huu wa MamaRais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je, Ni Ushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya tu...
Ww jamaa usifanaishe Tanzania na Rwanda? Tanzania kamwe haiwezi kufuata nyayo za Rwanda km mfano.
Acha upotoshaji
Msafara wa Magu ulikuwa na magari mpaka helkopta za kejeshi ni gharama kubwa sana kuliko huu wa Mama
😍💪👋Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je, Ni Ushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu...
Argumentum ad hominem....Jenga hoja Acha upambe na kuganga njaa
Hii CCM ya Bibi wa mitala iko hoi bin taaban😂😂😂Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
Endelea kujiotesha ndoto upendazo.....Hii CCM ya Bibi wa mitala iko hoi bin taaban😂😂😂
Mko hoi bin taaban na jeshi la JPM likipata chama cha upinzani makini huyo bibi asubuhi na mapema anapigwa asubuhi,watu wengi wanaamini bibi na timu msoga ndo wamemuua JPM,sasa hii ikitumiwa vizuri bibi hana chakeEndelea kujiotesha ndoto upendazo.....
Mimi sikuwahi kumpinga JPM na sitompinga....Mko hoi bin taaban,na jeshi la JPM likipata chama cha upinzani makini huyo bibi asubuhi na mapema anapigwa asubuhi,watu wengi wanaamini bibi na timu msoga ndo wamemuua JPM,sasa hii ikitumiwa vizuri bibi hana chake
Kweli Rwanda wako mbali juzi pale maputo mtu kala shaba, Kagame ana milki mbuzi hapo Rwanda.Achana na ukumbwa wa nchi kieneo,
Rwanda inafanya vizuri sana katika areas nyingi kuizidi Tanzania...
hiyo itakuwa ni CCM standard of practiceKwahiyo PK ndio standard mnayotumia kulinganisha mambo ya uongozi? Tanzania ni nchi tofauti na Rwanda. Usiwabeze hawa watanzania ambao wanapevuka kila uchao kuhusu mustakabali wa nchi yao, kwa kutoa mifano ambayo ni irerevant.
Rais kusafiri kuna sababu za umuhimu. Ni bora kutoa elimu kwa wanaohoji kuliko kutoa hii mifano mfu
Safar za kila mala kwenda na kurud zitamchosha bora akae uko uko ata mwaka mmoja poa tu, yaan awe anaunganisha nchi moja had nyingine akimaliza ndo aje mazima.
Kwa kipindi kifupi sana Cha hizi safar zake, uenda amejifunza kupata hela za kuendesha nchi kupitia tozo za miamala, tozo za majengo, sukar kupanda, mafuta ya kula kupanda n.k. Kaz iendeleee tu hakuna mwenye wivu nae