Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Tanzania ni moja ya nchi rahisi kuongoza duniani.Mpo kwenye janga zitto alaf mtu analeta picha za mkuu wa nchi akila bata kwenye mawe.Aliyeleta hiz picha hajamtendea haki mkuu wa nchi kwa wananchi wakati viongoz wenzetu nchi zilizzoendelea wakihangaika na kulia kwa janga hilli eti mtu kwa ulevi wa kujipendekeza analeta picha za furaha kwa rais,haiko sawa kabisa kwa maoni yangu
 
Rais sio taasisi ni mtu mmoja anayechaguliwa na wananchi kuongoza mhimili wa serikali ambayo ndio taasisi.
Spika wa bunge sio taasisi ni mtu mmoja anayechaguliwa na wabunge kuongoza mhimili wa bunge ambalo ndilo taasisi.
Jaji mkuu sio taasisi ni mtu mmoja anayeteuliwa kuongoza mhimili wa mahakama ambao ndio taasisi.
Kuna muda yakupasa kukaa kimya na kusoma watu walichoandika

Hivi wewe una uchungu na mtu mwingine kuliko wazazi wako

Rais ni taasisi sio mtu, Akiwa Dodoma sema taasisi ipo Dodoma,

Hata mawasiliano ya taasisi yanasema kurugenzi ya Ikulu

Mkuu wapi uliona barua zinaandikwa "Rais Magufuli" zinaandikwa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama taasisi

Mtakuja kufa kwa kujaza chuki vifuani, Wewe ni moja ya watu mnaoitafuta presha kwa kujaa chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anakupa ujumbe kuwa, hata katika kipindi kama hiki ni muhimu kupunguza hofu kuu. Mwenye huu ulimwengu yupo kazini , ingawa tunalojukumu la kufanya yaliyo ndani ya uwezo wetu pia. Mengine tunaweka mikononi mwake.
 
Kama wao Ikulu Wamezi Post Mm Kosa Langu Nn
Tanzania ni moja ya nchi rahisi kuongoza duniani.Mpo kwenye janga zitto alaf mtu analeta picha za mkuu wa nchi akila bata kwenye mawe.Aliyeleta hiz picha hajamtendea haki mkuu wa nchi kwa wananchi wakati viongoz wenzetu nchi zilizzoendelea wakihangaika na kulia kwa janga hilli eti mtu kwa ulevi wa kujipendekeza analeta picha za furaha kwa rais,haiko sawa kabisa kwa maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
020 hakuna shujaa mwingine zaidi ya huyu

Kama shujaa aache wanaume wenzie waingie ulingoni on a level playing field!!! Membe tu kule ccm anamtoa nishai; anamuwekea mizengwe chungu nzima ili asipate nafasi ya kuchuana nae.
 
Back
Top Bottom