Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Hueleweki mtanzania mkenya maana umekaa neutral, ukisikia mazuri ya Kenya unakuwa mkenya, ukiona zuri la huku unakuwa Mtz, hebu simama sehemu moja maana sisi Dual citizen
Umeona hahaha
 
I've seen that too...mpk sshv Magufuli anatekeleza ilani ya Ukawa, cjaona akitekeleza ilan ya ccm labda anahis he has somthng to pruv!!

mkuu kuiga kwingine kunahitaji umakini, mfano wakati wa kampeni Mheshimiwa LOWASSA alitembelea maeneo nyeti katika huduma za wananchi kama daladala, masoko nk ili kufahamu atakapoingia ikulu aanzeje KUWASAIDIA? Leo mheshimiwa MAGUFULI yupo ikulu ndiyo anaanza kutafuta matatizo yanayowakumba watanzania. KUTOKUMCHAGUA LOWASSA TUMERUDI NYUMA HATUA KUMI.
 
Hueleweki mtanzania mkenya maana umekaa neutral, ukisikia mazuri ya Kenya unakuwa mkenya, ukiona zuri la huku unakuwa Mtz, hebu simama sehemu moja maana sisi Dual citizen
Atakuwa ndio yule aliyezaliwa kenya na dodoma siku moja.Sijui anataka afanyiwe nn ndio alizike.
 
wizara ya fedha no iwe ya kwanza kuondoka muda mwingi wako dodoma kwenye budget huko dar wanafanya nini? Jinsia na watoto ibaki dar huko ndo watoto wako wengi wengine wanashinda humu jf hawana kazi.
Kwani jf ni ya dar tu? Hata dom wapo, ila dar ndo jiji la kibiashara tz.
 
Itakuwa uamuzi mzuri. PhD yake imemuelekeza hivyo. Watangulizi wake hawakuwa na PhD hadi walipoomba zile za mafungu. Tutampima kwa matokeo. Kinachosubiriwa ni muda tu.
 
Naomba kujua lini sofa zitapigwa mnada nasi walala hoi tuambulie.
 
Kama ni kweli anataka kupunguza matumizi ya serikali basi afikirie gharama ya kuhamia Dodoma!!!
 
Kama ni kweli,hiyo ni gesture tu ya kuonyesha kwamba he is committed to mother Tanzania,hafanyi ajizi.Ni lazima yeye aonyeshe mfano.Narudia,kama ni kweli,well done JPM.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
 
Good JPM.we couldn't have a better one.
Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.

Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
 
Sababu za kitanzania hizi.WE MUST START NOW.
Wazo zuri lakini nahisi utekelezaji wake kwa sasa ni mgumu mno.

Akihama yeye lazima wizara zote zihamie Dodoma. Maana yake kutahitajika pesa nyingi sana. Anahitaji pesa hizo kwenye elimu, afya na miundombinu.
 
Nilikuwa Dodoma mwaka jana. Dodoma ipo tayari kuwapokea Wageni wote wakihamia hapo.

Bunge tayari lipo Dodoma. Ikulu ya Chamwino ipo tayari na salama sana.

Ofisi kubwa sana ya Bunge ipo tayari.

Kwani ukiangalia Washington DC, imekaa kama ni Mji Mkuu wa USA?

Kama ni kweli, huo nao utakuwa ni ukurupukaji na sioni akifanikiwa katika hilo.

Dodoma haiko tayari kuwa mji mkuu wa nchi.
 
Nilikuwa Dodoma mwaka jana. Dodoma ipo tayari kuwapokea Wageni wote wakihamia hapo.

Bunge tayari lipo Dodoma. Ikulu ya Chamwino ipo tayari na salama sana.

Ofisi kubwa sana ya Bunge ipo tayari.

Kwani ukiangalia Washington DC, imekaa kama ni Mji Mkuu wa USA?

Nilikuwa Washington D.C. wiki moja tu na nusu iliyopita.

Ndiyo, D.C. imekaa kama mji mkuu wa USA.
 
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.

Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.

Kumbe palikuwa ni Pachafu!!!

Dar Haondoki Mtu mkuu.... Dodoma Miundo mbinu mibovu ndio maana utasikia Maraisi wa Nje wakija ni Dat tu
 
Hahahaaa, sawa Bana. Labda kwa kuwa ulikuta Wanyamwezi wenzio kibao huko Mami. Kama DC inafaa, Dom pia inafaa.

Bachonga Magembe benekele kabisa kabisa, Kabadi....



Nilikuwa Washington D.C. wiki moja tu na nusu iliyopita.

Ndiyo, D.C. imekaa kama mji mkuu wa USA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom