Acha uongo mama Anna wa ACT ndie aliyewahi kuahidi kuhamia Dodoma kama angeshinda urais,na si huyo lowasa wenu.
Chadema walibana matumizi kwa kuwadhurumu mawakala..
Chuki yetu ilikuwa ubabaishaji wa serikali na chama chake-lakini kwa kasi hii YUMKINI tutaona usimaiaji wa dhati ktk kidogo tulichonacho,ewekezaji wenye tija na maisha bora yasiyotokana na ufisadiWanaukawa mtampenda na kumfagilia kwa lipi?
Endelea kuduwaa...Nyie mnafikiria kuhama kwa Rais ni lazima office zote zihamie Dom hivyo akisafiri Ikulu inafungwa ama ? ni aje
Hahaahh atakunywa juice ya ubuyu na ukwaju.
Akifanya hivyo atakua amethihirisha kiwango kikubwa cha uzalendo
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Vikao vingi vikubwa likiwemo bunge hufanyika Dodoma wanakunywa juice ya ubuyu tu?Dodoma hakuna juice ya maembe huko, ni ukame mtupu. usafi ni kawaida ya ikulu akiingia rais mpya
Kweli mkuu, tutapumua. Halafu kuna wizara kama jinsia na watoto, michezo na utamaduni, wariri asiye na wizara na kama hizo angezitanguliza huko. Kuna wizara ni ngumu kuzihamisha mf. Wazara ya fedha nk.zibaki huku mjini.Mwende huko mtupunguzie foleni kwenye hili jiji, maana nyie na misafara yenu inachangia foleni
Kweli mkuu, tutapumua. Halafu kuna wizara kama jinsia na watoto, michezo na utamaduni, wariri asiye na wizara na kama hizo angezitanguliza huko. Kuna wizara ni ngumu kuzihamisha mf. Wazara ya fedha nk.zibaki huku mjini.
Pia kiusalama kwa upande wa Rais sio pazuri, magogoni pamekaa poa kiusalama kwani ni karibu na kiwanja kikubwa cha ndege na mahari pia hivyo prezida atakuwa salama zaidi hata ikitokea kama yaliyotaka kumkuta nkurunzinza
Mzee ''nyumbu''! Magufuli akihamia Dodoma itakusaidia nini wewe na watanzania wengine?
Mwende huko mtupunguzie foleni kwenye hili jiji, maana nyie na misafara yenu inachangia foleni
Naunga mkono ahamie hukohuko watuache sisi tuchape kazi hapa, sio kila dakika ving'ora vig'ora ving'ora kusubiri viongozi wapite tunapotezeana muda bure wakati sehemu mbadala ipo wahamie tu huko dodoma.