Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Kama gazeti linavyosema hapo chini kwamba Wizara tano kuhamishiwa Dodoma Mji Mkuu hivyo ni dhahiri kabisa kwamba Magufuli wetu amedhamiria kwenda hatua KUBWA zaidi mbele kwenye hili swala la kuhamia Dodoma!

Safi sana Magufuli wetu, haya ndiyo maamuzi magumu!

DSC02968.jpg

Heading na Content haviendani
Wewe kweli ni Mbwa
 
Wizara ya Ardhi, Mazingira, Nyumba na Makazi ielekee Dodoma
Wizara ya Kilimo, Chakula na Mifugo iende nayo Dodoma
Wizara ya TAMISEMI nayo ielekee tu Dodoma
Wizara ya nchi ofisi ya Waziri Mkuu, sera, uhusiano na uratibu wa Bunge
 
Kuhamia Dodoma ni kupoteza rasilimali za Taifa. Taifa lina mambo ya msingi kuliko kuhamia Dodoma...

# Magufuli Rais wangu, Tanzania Nchi yangu#
 
kutawanya wizara si busara na juzi nilimsikia prof mmoja akisema hivyo, kuna baadhi ya wazara mambo yanaingiliana mfano mambo ya ndani inaingiliana na wizara nyingi sasa kama zitakuwa zimetawanywa hamuoini itakuwa gharama kwa mtu kwenda hizo ofisi. Mfano mwalimu anashughulikia anataka passport(uhamiaji) na anataka ruhusa(elimu/tamisemi).

Mimi ningedhani kuwe na governemnt village ambapo wizara zote zinakuwa jirani jirani kama ilivyo udom na colleges

tehama.
 
Safi sana. Kati ya hizo tano, TAMISEMI lazima iwepo. Nyingine ni Elimu, Hizo tatu zingine changieni ninyi

Tamisemi mbona ipo Dodoma mda sana kabla hata Kikwete hajawa Rais.
Ina maana haujui kweli au mbwembwe tu? Au ni Mimi nimechanganya ma-file?
 
Hakuna serikali yoyote duniani yenye kutawanya wizara kama unavyoshauri. Kumbuka kwamba hata katika utaratibu wa uliopo, kila wizara ina tawi mikoani zinazofahamika kama idara. Kutawanya wizara kutaleta inefficiencies kwa kuwa wizara zina miingiliano mingi. Pia kuitisha cabinet meetings na kufanya consultations itakuwa gharama kubwa - jambo ambalo JPM anajitahidi kupambana nalo!
 
Kutawanya wizara si busara na juzi nilimsikia prof mmoja akisema hivyo, kuna baadhi ya wazara mambo yanaingiliana mfano mambo ya ndani inaingiliana na wizara nyingi sasa kama zitakuwa zimetawanywa hamuoini itakuwa gharama kwa mtu kwenda hizo ofisi. Mfano mwalimu anashughulikia anataka Passport(Uhamiaji) na anataka ruhusa(Elimu/Tamisemi).

Mimi ningedhani kuwe na Governemnt Village ambapo wizara zote zinakuwa jirani jirani kama ilivyo UDOM na colleges

Mikoa mengine kutakuwa na ofisi ndogo zitakazohudumia wananchi...ila makao makuu ya wizara yaondolewe dar
 
Je Serikali inazo fedha za kutosha kwa ajili ya kumudu gharama za kuhamisha ofisi zake na wataalamu wote je Dodoma kuna miundo mbinu ya kutosha kwa mahitaji hayo ikiwemo ofisi na nyumba za kuishi watumishi wote ikumbukwe hata Taasisi nyingine muhimu zinafanyakazi na Serikali nazo zitalazimaka kuhamia huko

ili dhana ya kuhamia Dodoma ikamilike kunahitaji kuanza na Wizara chache sambamba n's ujenzi wa miundo mbinu muhimu kama vile uwanja wa ndege mkubwa barabara za kutosha nyumba za kutosha ofisi na mengineyo muhimu
 
Sitta kapewa wizara miezi 6 tu kafanya ufisadi mkubwa sijui angekuwa waziri miaka 10 ingekuwa nchi imeoza
 
Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.

Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
??????????
 
Back
Top Bottom