Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Akifanikisho hilo...hilo tu, I will grant him my full endorsement.
 
Hili tumelisubiri sana litokee hapa Tanzania, kama ni kweli saaaaafi sana maana hata watendaji wengine watahamia Idodomya na Dar foleni zitapungua automatikali
 
mkuu mlitaka afanye nini ili mfurahi?
wewe na Elli inaonekana mmeguswa kinyume kabisa na magufuli.
Bahati mbaya sana mimi sio mtu wa kufanyiwa kitu ili nifurahi, point yangu ni kwamba ajifunze ku-priotize issues, akae atulie ajipange sio kupayuka na ku seek public attention, hatuhitaji attention seeker. Issue ya Dodoma kama ni kweli itatugharimu sana hasa ukizingatia kipindi hiki ambacho CCM imetuachia makovu makubwa hivi. Karibu
 
...au atakua anakimbia kero za mtangulizi wake? Maana nimesikia kuwa jamaa pamoja na kuagwa na kuondoka kwa helicopter kwenda Msoga nasikia jioni yake alirudi tena na deile lazima atie maguu pale Magogoni
 
Bahati mbaya sana mimi sio mtu wa kufanyiwa kitu ili nifurahi, point yangu ni kwamba ajifunze ku-priotize issues, akae atulie ajipange sio kupayuka na ku seek public attention, hatuhitaji attention seeker. Issue ya Dodoma kama ni kweli itatugharimu sana hasa ukizingatia kipindi hiki ambacho CCM imetuachia makovu makubwa hivi. Karibu
mkuu rais wetu amepayuka wapi?

kwanza naomba nifaham msimamo wako wa kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu.

Ulikuwa UKAWA ama CCM?
 
Una uhakika na ulichokiandika? Na kuwa katikati ya nchi kijiografia?

Kijiographia Dodoma haipo katikati ya nchi, labda ungwsema kanda ya kati. Katikati ya nchi ni Singida maeneo ya Manyoni kuanzia Mitundu huko.
 
Jiji la Ukawa lishaaza kumtisha,ngoja ahamie kwenye ngome.huko nako akiona namna gani vipi aende chato au msoga!!
 
Naona WATANI zangu watabahatika kuwa na JIJI safari hii
 
Nampa hongera kama ni kweli, lakini itakuwa ni mwendelezo wa kuigiliza aliyokuwa anayaamini Mheshimiwa Lowassa.

I've seen that too...mpk sshv Magufuli anatekeleza ilani ya Ukawa, cjaona akitekeleza ilan ya ccm labda anahis he has somthng to pruv!!
 
Una uhakika na ulichokiandika? Na kuwa katikati ya nchi kijiografia?
nahakika na ninaelewa vizuri. japo sababu za kuwa katikati ya mji ni mojawapo usalama ilikuwa factor kubwa. kuwa katikati kiuchumi si kweli sana kwa sababu bado Dar ingeendelea kutumika na gharama zingezidi tu!
suala la usalama ni muhimu na halilizuiwi na gharama. kuhamisha makao ya nci ni gharama kubwa saana ndo maana hadi leo hayakutimia.
 
afanye afanyacho, cha maana tu aanze upya na asikubali kabisa kuongozwa/kushauriwa na rais aliyepita

JPM should start with a clean slate
 
Semeni tu kwamba anahamia dodoma kwa muda kwa shughuli za kumpata waziri mkuu na kulifungua bunge... Akimaliza anarejea dar kama kawa......
 
mkuu mlitaka afanye nini ili mfurahi?
wewe na Elli inaonekana mmeguswa kinyume kabisa na magufuli.

Atuhitaji kelele,na vibweka hata Kikwete aliingia na vibweka na kelele kibao .tunahitaji mtu wa kufanya kazi katika maadili na kazi ikaonekana,,hivi mnajua ugumu wa kuhama Ikulu ya magogoni au mmeanza CCM vibweka??.Historia tuu kwanza itakuwa kichekesho,umesikia Raisi gani anahama Ikulu aliyoikuta tokea enzi ya taifa hilo au hili limezaliwa.fikirieni na yeye afikirie huyo Magufuli.Mwezi aujaisha bado Raisi ajui kipaumbele chake mnaanza kuwaandaa watu kisaikolojia..Tunahitaji mabadiliko bwana.sisi porojo tuu.
 
Last edited by a moderator:
Binadamu sio mtu wa kuridhika abadan hata umpe nini! Maadam mna kitu moyoni basi chochote kitachofanywa mtakiona kibaya!
Hebu fikiria tutapunguza msongamano kiasi gan?
Vilevile tuifikirie Dodoma na tuipe hadhi yake. Mji mkuu Dodoma ofisi zote zipo DAR!!. Only in Tanzania.
 
Back
Top Bottom