Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
mkuu umesema vizuri hasa hili la kupunguza msongamanoDodoma haikuichaguliwa kwa sababu ya cold war. Dodoma ni katikati ya Tanzania. Ni rahisi kwa mtu kusafiri kutoka Kigoma, Iringa, Mwanza kwenda Dodoma kuliko Dar-es-Salaam. Wanigeria walipoamua kujenga Abuja walikuja kuangalia plan za Dodoma na wenzetu kwa sababu ni serious wakajenga na wakahamia. Sijui ni kitu gani kilichochelewesha kuhamishia serikali Dodoma hasa baada ya Mwalimu Nyerere kustaafu. Serikali ikihamishia shughulli zake Dodoma na kuacha Dar-es- Salaam kuwa mji wa biashara itasaidia sana msongamano wa magari saa za kwenda kazini. Haihusiani hata kidogo na cold war.
Nyie wanyarwanda wajinga sana sijui kama mnajitambua kwenye hii dunia.Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Wazo zuri lakini nahisi utekelezaji wake kwa sasa ni mgumu mno.
Akihama yeye lazima wizara zote zihamie Dodoma. Maana yake kutahitajika pesa nyingi sana. Anahitaji pesa hizo kwenye elimu, afya na miundombinu.
Hahahaaa, sawa Bana. Labda kwa kuwa ulikuta Wanyamwezi wenzio kibao huko Mami. Kama DC inafaa, Dom pia inafaa.
Bachonga Magembe benekele kabisa kabisa, Kabadi....
Hii dansi ingefaa itumike mashuleni kama P.E.
Nilitaka kukuwekea "Like" lakini naona JF wametuhujumu.mkuu umesema vizuri hasa hili la kupunguza msongamano
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
1.kwa kuleta nidhamu ya matumizi ya pesa za ummaWanaukawa mtampenda na kumfagilia kwa lipi?
Safi sana. Kati ya hizo tano, TAMISEMI lazima iwepo. Nyingine ni Elimu, Hizo tatu zingine changieni ninyi
Ili kuleta maendeleo ya haraka Mikoani, wizara hizi zingetawanya nchini kote mfano:
1. Nishati na Madini ingepelekwa kanda ya ziwa huku kitengo kikuu cha nishati kikiwa kusini i.e Mtwara au Lindi
2. Kilimo na ushirika ipelekwe Nyanda za juu Kusini
3. Utalii iende Kaskazini i.e Kilimanjaro au Arusha
4. Wanawake jinsia na watoto ipelekwe Singida au Dodoma
5. Waziri mkuu yote iende Dodoma
6. Afrika Mashariki haina umuhimu iwe chini ya wizara ya mambo ya nje
7. Mambo ya Nje Dar
8. Fedha na Uchumi Dar
Nitaendelea
Safi sana maana tumebanana mno hapa Dar