Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Sidhani kamamatafanikiwa overnight. Inabidi aanze kuimarisha miundombinu kwanza hasa airport. Halafu aweze kushawishi balozi nazo zihame. Hapo atafanikowa kirahisi
 
Nyie mnafikiria kuhama kwa Rais ni lazima office zote zihamie Dom hivyo akisafiri Ikulu inafungwa ama ? ni aje
 
Hapa atakuwa ameweza kufanya jambo lililowashinda watangulizi wake wote. Endapo atafanya hivyo, nitampa hongera zangu toka moyoni.
 
Sidhani kamamatafanikiwa overnight. Inabidi aanze kuimarisha miundombinu kwanza hasa airport. Halafu aweze kushawishi balozi nazo zihame. Hapo atafanikowa kirahisi

Manyumbu bhana kweli hamna akili kabisa yaani Raisi wa nchi aombe ruhusa kwanza kwa mabalozi kama wakikubali ndiyo aweze kuhama ndani ya nchi yake? Hivi wewe akili zako ziko sawa kweli?

Kwa kweli Mungu alituepusha na mengi sana kwa kutokumchagua fisadi Lowasa kwa maana kama walivyo wafuasi wake hawana akili kabisa!
 
Nyie mnafikiria kuhama kwa Rais ni lazima office zote zihamie Dom hivyo akisafiri Ikulu inafungwa ama ? ni aje

Ndio yale yale,kwahiyo kila siku awe anapanda ndege kurudi Dar ofisini????
 
Wazo zuri lakini nahisi utekelezaji wake kwa sasa ni mgumu mno.

Akihama yeye lazima wizara zote zihamie Dodoma. Maana yake kutahitajika pesa nyingi sana. Anahitaji pesa hizo kwenye elimu, afya na miundombinu.

Pia kiusalama kwa upande wa Rais sio pazuri, magogoni pamekaa poa kiusalama kwani ni karibu na kiwanja kikubwa cha ndege na mahari pia hivyo prezida atakuwa salama zaidi hata ikitokea kama yaliyotaka kumkuta nkurunzinza
 
Wamarekani walidai like jengo refu jirani na ikulu ni kitisho kikuu cha usalama wa ikulu. Ni salama zaidi kuhama kuliko kubaki hapo magogoni.
 
Manyumbu bhana kweli hamna akili krhabisa yaani Raisi wa nchi aombe ruhusa kwanza kwa mabalozi kama wakikubali ndiyo aweze kuhama ndani ya nchi yake? Hivi wewe akili zako ziko sawa kweli?

Kwa kweli Mungu alituepusha na mengi sana kwa kutokumchagua fisadi Lowasa kwa maana kama walivyo wafuasi wake hawana akili kabisa!

Naweza kuwa NYUMBU kweli lakini wewe usiye NYUMBU hebu niambie kwa uwekazaji waliofanya wamarekani pale ubalozini unawaamuruje wakajenge tena Dodoma? Watu wanaokupa ugali, mboga mpaka chumvi?

Sometimes commonnsense is not common....
 
Nampa hongera kama ni kweli, lakini itakuwa ni mwendelezo wa kuigiliza aliyokuwa anayaamini Mheshimiwa Lowassa.

Yawezekana kuwa ni kweli lakini kwa sasa anayotekeleza ni mambo aliyoanzisha Mwl. JK Nyerere ambaye Lowasa alimchukia.
 
Back
Top Bottom