Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
It takes how long kuhamia Dodoma? Mbona kama vile unahisi shughuli zitasimama! Btw ni tetesi tu.
Fumba mdomo
It takes how long kuhamia Dodoma? Mbona kama vile unahisi shughuli zitasimama! Btw ni tetesi tu.
Hehehe naona watu wamepaniki hatareeee
Wewe Tanzania inakuhusu nn, ulijidai unataka kurudi Kenya nenda tunasubiri nn
mi lazima niwarekebishe pindi mnapovurunda
Wewe si umeshaukana uraia wa Tanzania vipi tena unawashwa na siasa za TanzaniaHata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Ataishije dar wakati dsm wamekataa unyumbu.Jiji karibu lote wana limiliki Ukawa?Mwana chato ameona hawezi kuwa chini ya Halmashauri za ukawa.
Wewe si umeshaukana uraia wa Tanzania vipi tena unawashwa na siasa za Tanzania
Hehehe mi ni wa mombasa na nairobiToka zako hapa,
We nenda Kenya Kericho ama Kakamega mashambani
Itakuwa ni jambo zuri sana mtu anaweza asinielewe lakini ikiwa serikali kwa maana ya rais wizara, itakuwa ni njia mojawapo ya kupunguza tatizo la msongamano wa magari hapa jijini.Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.
Dodoma hakuna juice ya maembe huko, ni ukame mtupu. usafi ni kawaida ya ikulu akiingia rais mpya
Ujanja ujanja tuu wa CCM watu tunasuburi kazi sipo porojo tuu mara atembelea muhimbili,mara sijui ashtukiza bank kuu.come on ..tunataka mambo ya misingi..Ahamie Dodoma ???? Ni ngumu kuliko alivyobebwa na kuingia Ikulu...
Kama ni kweli, huo nao utakuwa ni ukurupukaji na sioni akifanikiwa katika hilo.
Dodoma haiko tayari kuwa mji mkuu wa nchi.
Mkuu nasikia Trumpu akipata ujiko atawafukuza wahamiaji .... .. vipi utapona kweli? Au mwenzetu na uraia ulisha uza?
Nampa hongera kama ni kweli, lakini itakuwa ni mwendelezo wa kuigiliza aliyokuwa anayaamini Mheshimiwa Lowassa.