Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

Atuhitaji kelele,na vibweka hata Kikwete aliingia na vibweka na kelele kibao .tunahitaji mtu wa kufanya kazi katika maadili na kazi ikaonekana,,hivi mnajua ugumu wa kuhama Ikulu ya magogoni au mmeanza CCM vibweka??.Historia tuu kwanza itakuwa kichekesho,umesikia Raisi gani anahama Ikulu aliyoikuta tokea enzi ya taifa hilo au hili limezaliwa.fikirieni na yeye afikirie huyo Magufuli.Mwezi aujaisha bado Raisi ajui kipaumbele chake mnaanza kuwaandaa watu kisaikolojia..Tunahitaji mabadiliko bwana.sisi porojo tuu.

hebu uweke hapa huo ugumu..

Tatizo ni kuhama au utendaji?
 
Ikiwezekana ahamie chato... Dhulma ya wizi wa kura haiwezi kutupatia Rais Bora ...
 
Ki-nchi, Dodoma ni katikati kwa maana ya kuunga nchi. Kumbuka Dodoma kuna hii barabara ya kwenda Mbeya ambayo kama sikosei wanasema inaanzia Ethiopia na inapita Dodoma na kwenda hadi South Africa.

Pia inapita Reli ya Kati na Barabara ya kwenda Mwanza, Kigoma na hadi nchi za nje.

Sema tu kiwanja cha ndege itakuwa kasheshe. Walau Mawaziri watatapa uvivu kusafiri hadi Dar na mwisho wapande Emirates kwenda kufanya Shoping Dubai utadhani nyumbani kunawaka moto (by Bernard Membe).

Kijiographia Dodoma haipo katikati ya nchi, labda ungwsema kanda ya kati. Katikati ya nchi ni Singida maeneo ya Manyoni kuanzia Mitundu huko.
 
Ndio Maana ulijenga Nyumba za Wabunge Na Mawaziri Dodoma ingawa walikataa kuhamia, sasa umeanza wewe tuone nani atakubishia.

Wizara nyingi zitahamia Dodoma soon
 
Kwa ajili ya shughuli kubwa za bunge na kupata serikali mpya not otherwise.
 
Ndio Maana ulijenga Nyumba za Wabunge Na Mawaziri Dodoma ingawa walikataa kuhamia, sasa umeanza wewe tuone nani atakubishia.

Wizara nyingi zitahamia Dodoma soon
Mzee ''nyumbu''! Magufuli akihamia Dodoma itakusaidia nini wewe na watanzania wengine?
 
Sawa lakini hata waliokaa ikulu ya magogoni walikuwa na sababu. Wale walioamua makao makuu kuhamia Ddm ingeku ni sasa wasingeamua hivo. It was an outcome of cold war and ubeberu. Iliaminika ddm ni salama. Lkn sasa kukua kwa tkngia si sabb tena
Dodoma haikuichaguliwa kwa sababu ya cold war. Dodoma ni katikati ya Tanzania. Ni rahisi kwa mtu kusafiri kutoka Kigoma, Iringa, Mwanza kwenda Dodoma kuliko Dar-es-Salaam. Wanigeria walipoamua kujenga Abuja walikuja kuangalia plan za Dodoma na wenzetu kwa sababu ni serious wakajenga na wakahamia. Sijui ni kitu gani kilichochelewesha kuhamishia serikali Dodoma hasa baada ya Mwalimu Nyerere kustaafu. Serikali ikihamishia shughulli zake Dodoma na kuacha Dar-es- Salaam kuwa mji wa biashara itasaidia sana msongamano wa magari saa za kwenda kazini. Haihusiani hata kidogo na cold war.
 
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.

Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.

Ataishije dar wakati dsm wamekataa unyumbu.Jiji karibu lote wana limiliki Ukawa?Mwana chato ameona hawezi kuwa chini ya Halmashauri za ukawa.
 
Hueleweki mtanzania mkenya maana umekaa neutral, ukisikia mazuri ya Kenya unakuwa mkenya, ukiona zuri la huku unakuwa Mtz, hebu simama sehemu moja maana sisi Dual citizen

We kinachokuuma nini?kwani watanzania hawaruhusiwi kufuatilia nchi yao wakiwa nje ya tz?halafu ukiona umekereka sanaaaaaa karambe malimao
 
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto

Naona Povu linakutoka, hivi unajua serikali inapata hasara kiasi gani ktk Kwa kubaki Dar?

Kama huwezi kukop na Dr Magufuli rudi Kenya. Kwanza ilisema inarudi Kenya baada bosi wako kupigwa chini
 
sasa akiamia dodo ofisi atazivamia saa ngapi? labda azivamie na timua timua sana alafu wale waliokatazwa safari za nje safari zao ziwe dodoma tu.
 
Oyaaah! Kitu kimoja ujue Tz hatuna dual citizenship, nakushauri TUACHIE nchi yetu, naona unadandia dandia tu, kuna comment moja ktk uzi wa mtu humu ile ya Serengeti kutangazwa online huko china UMEJINADI kama Mkenya, sasa nakushangaa unavyojipendekeza ktk mambo ya Tz. BOUNCE! Tuache tujadili ya kwetu. Kina jikwaa la wakenya, nenda huko!

tulia basi mdogo wangu mbona unarukaruka kama maharage jikoni,nini mbaya
 
Suala la kuhamia Dodoma lisimpotezee muda, halina umuhimu wowote, asilipe kipaumbele sana, ni la kisiasa tu ndiyo maana hata waanzilishi wake limewashinda kwa kipindi chote kile. Kama lingekuwa na manufaa nini kilizuia kuhamia ? JPM ana kazi kubwa sana inayomkabili kuliko hiyo theory ya kuhamia Dodoma. Kwani TZ inakosa nini kwa kutohamia Dodoma?

It takes how long kuhamia Dodoma? Mbona kama vile unahisi shughuli zitasimama! Btw ni tetesi tu.
 
Naona Povu linakutoka, hivi unajua serikali inapata hasara kiasi gani ktk Kwa kubaki Dar?

Kama huwezi kukop na Dr Magufuli rudi Kenya. Kwanza ilisema inarudi Kenya baada bosi wako kupigwa chini
mi lazima niwarekebishe pindi mnapovurunda
 
Back
Top Bottom