Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Ni Jambo dogo. Siku ya Ijumaa ukitembelea misikiti ya Ijumaa angalia viatu vya waumini walivyoviacha nje wakati wanaingia misikitini, utangundua kuwa Hali sio nzuri kwa waliyimo ndani humo
Ha ha haaa!
Nimecheka sana.
Hii dhana ya viatu wanavyo vaa dini flani ingekuwa na mashiko kama ingehusishwa na utaratibu wa kuvaa viatu vinavyowapa urahisi kutawaza/kutawadha na pia kuepuka kuharibika miguu kwa 'fungus' sababu ya kuvaa viatu vilivyo lowa.
 
Unaongea kujifurahisha alafu ukale kitimoto, jiulize enzi hizo kwanini ulibadilishwa mfumo wa mitihani kutoka jina kwenda kwenye namba? Jiulize ile tume iliyoundwa na jk kipindi kile kupima ufaulu wa wanafunzi katika dini ya kiisalm walikuja na majibu gani?

Na ndio silaha yenu eti waislam hawajasoma ndio maana hawateuliwi, hakuna uthibitisho juu ya hili angalia msomi kama prof assad alivyovuliwa cheo chake unadhani kisa nini? Kumbuka Ramadhani dau alikuwa anashambuliwa nini?
Dau sio wa kumuongelea hapa alijaa udini uliopitiliza

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Mmmh!! Umefika mbali, maada Ni kuhusu ajira ambako walioajiriwa Wana chanzo Cha Mapato kisichotetereka kinachotokana na Kodi za walipa Kodi wote nchini. Mtu mwenye ajira ana uhakika wa kipato na uhakika wa kupata mikopo.

Mtu mwenye kipato kisichotegemea hali ya hewa ana uhakika wa kusomesha wanawe, kuwekeza, na kulipia michango mbalimbali. Mada hii inamtaka rais ajae aone Kama watu wenye sifa ya kuajiriwa waajiriwe waajiriwe kwenye nafasi kwa kuzingatia nchi inayo madhehebu mbalimbali Na wanaoitwa kwenye workshops na uteuzi wazingatie hilo pia. Maana ajira Ni ufunguo muhimu sana wa Mambo mengine muhimu kwenye familia ya mwajiriwa. Sasa unachosema hapo uko nje ya mada.
Wafanya biashara si wana Mapato mazuri na uwezo wa kufanya maendeleo mkubwa na kusomesha shule
 
MwenyeziMungu alivyo unaweza kusema ngoja nichukue hawa majews niache wahindu mara paap! wote waka convert into hinduism wakiwa kwenye mfumo tayari

IMANI MOYONI
 
Wakijenga shule nzuri watasoma watoto wale wa kule pia kwani wazazi wao ndio wenye ajira, wenye teuzi na wanaohudhuria semina na workshops kila Mara hivyo wanaweza kulipa ada kwenye shule bora zisizoweza kushindana na zike za kata.

Hivyo hutashangaa kuona wanaokwenda vyuo vikuu wengi wao Ni wale wanaotokakwenye zile shule bora na ghari. Hawa ndio watakaovijaza vyuo vikuu huko muhimbili unakosema. Tatizo sio watoto Bali wazazi wao na wazazi wao sio tatizo Bali waliotoa fursa bila kuzingatia
Maneno ya kushindwa. Mbona mna shule za msingi na sekondary za dini pendwa tu, lakini matokeo always ni mababya? Uncle wa Msoga alijaribu hata kuwapa alama za nyongeza bado hamkufikia kiwango.

Hakuna upendeleo hapa, tabia zenu huwa ni kutaka mpewe zaidi ya wengine hata kama hamstahili kupata.
 
Ushauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu

2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?

3) Top 10 ya matajiri waliopo Tanzania mpo nyie wote wa hiyo dini, kwa nn msikae nao chini hawa matajiri mkawaomba wawekeze pia kwenye kujenga shule za kisasa pamoja na vyuo vya kisasa ili waweze kusaidia watu maskini wa dini hiyo na wasio na uwezo wa kulipa ada?

4) Wenzenu kwenye ibada wanachangishana hadi leo kwa ajili ya ujenzi wa kujenga shule za awali na za sekondari, na sadaka huwa hadi mara mbili na baada ya hapo wanatafuta pori huko wananunua wanajenga. Na nyie kwenye ibada mchangishane michango kwa ajiki ya ujenzi wa shule za awali na sekondari

5) Hayo juu yanawezekana ikiwa tu mtabadilisha uongozi kwenye nyumba zenu za ibada, kiongozi wenu wa dini asipimwe tu kwa kuijua dini vizuri bali pia awe ana elimu dunia ya kutosha ili kuweza kuwaweka sawa katika kufikia hayo hapo juu.
Kwenye dini fulani hivi dhehebu fulani hivi huwezi kuwa kiongozi wao kama huna elimu( degree ndio minimum)

6) Ukiwa huna uwezo kifedha lakini una akili kichwani basi utatoboa tu.
- mtihani wa darasa la 7 umefaulu vizuri utangiwa sekondari ya serikali kwenye ada ndogo kabisa
- sekondari ukifaulu vizuri pia utapangiwa high school nzuri tu ya serikali kwemye ada ndogo
- high school ukifaulu vizuri tu, utapangiwa chuo cha serikali kizuri tu na mkopo utapewa

7) Point namba 6: kama kwenye dini yenu hakuna watu wengi wanaoweza kufaulu sana basi hili tatizo sio la sirikali bali ni.....
Na kama wanafaulu sana basi inawezekana mpo wachache sana kwenye nchi kwa maana let say mpo jumla ya wanafunzi mil 2 nchini, wenye uwezo wa kufaulu sana moja kwa moja mpo mil 1 na wenzenu let say wapo wanafunzi mil 10 na wanaoweza kufaulu moja kwa moja wapo mil 4, jua tu mtamezwa

8)Dhana ya dini flani wamejaa sana maofisini inaweza kuwa kweli lakini pengine si sababu ya dini yao, kwa sababu mm na jamaa zangu ni wa hiyo dini na tumefaulu vizuri tu na tuna elimu nzuri ila hadi leo tume-suffer sana kupata hizo nafasi lakini hamna kitu. Hakuna atayekusaidia au kukupigia pande kisa wewe ni dini yake
Bali
Anaweza kukusaidia, kukupigia pande, kukupa connection kama wewe ni kabila lake na tu ni ndugu wa karibu ( mtoto wa mjomba, shangazi, mama mkubwa, baba mdogo n.k).
Wewe jamaa una akili nyingi sana
 
Angalia huduma /unakuwa ka msukule! dini karne hii ? unaumwa kweli wew
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu.

Ukifika kwenye ofisi za umma utakuta Mtumishi kaweka kwa sauti music wa dini fulani na watu hawahoji.

Hii sio bahati bahati mbaya Wala coincidence. Ikumbukwe kuwa mishahara ya ajira na posho za vikao na mikutano ndizo zinazokwenda kuwekezwa kwenye elimu za watoto na maendeleo ya familia za watu waliopewa fursa ya ajira na kuhudhuria mikutano na kupata hela.

Hii inasababisha maisha na familia za jamii inayooatiwa fursa hizi kuwa mbele kimaisha na kielimu. Hivyo familia za wanufaika kuendelea kutoa watumishi bora na wenye elimu shindani na wale wanaonyimwa fursa kuendelea kutoa watu wasiokuwa bora na elimu shindani kwenye ajira, "vicious circle"

Rais anayekuja lazima azimulike ofisi zote za umma na taasisi, washa, mikutano na workshops na teuzi zote ili kujiridhisha na uwiano wa kidini pia baada ya vigezo vingine kukamilika.

Taasisi zetu za dini hazijui kazi zao au zinaogopa kutimiza kazi zao? Au ni hayo hayo matokeo ya kukosa fursa za elimu kwa njai hii?

Rais ajae pamoja na Mambo mengine ya jumla lakini autazame pia huu ufa kwenye taifa.
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.

Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Subiri Matusi, Kejeli na Mapovu ya kutosha.

Kisa tu umesema ukweli
 
Walikuwemo angalau angalau wanaonekana serikalini japo walikuwa bado ni wachache kulinganisha na wakiristo lakini hawakuwa wachache kiwango cha kutisha kama ilivyo leo kwenye utawala huu. Huu utawala ni funga kazi, umewapiga palanja waislamu kwenye nafasi za utumishi serikalini kupita kiasi, utawala huu umewapa nafasi waislamu wachache mno mno mpaka aibu.
Unataka kusema kawafukuza waislam waliokuwepo kwenye ajira? Au kaajiri wakristo wangapa katika kipindi cha miaka 5? Kutokujiamini kunazaa malalamiko ya uonevu.
 
Naunga mkono hoja, Jiwe ni mdini mpaka anatia aibu.

Kawanyina nafasi za utumishi serikali mpaka inashangaza sana.

Tunataka serikali adilifu kwa raia wake wote.

Kiukweli kuna ubaguzi wa kimfumo dhifi ya waislamu katika nyanja za utumishi wa umma na serikalini.

Hili ni bomu linalosubiri kupasuka!
Wazee wa kulialia na kulalamika.

Tumeshawazoea ninyi, endeleeni kutawadha tu badala ya kuinvest vizuri katika Elimu
 
Hebu kula waziri aagize orodha za watu waliohudhuria kwenye semina, workshops nk zote zilizofanyika mwaka huu tu aone Ni akina Nani wamealikwa, kuhudhuria na kulipwa posho. Baada ya kulipwa posho si wanaenda kulipia ada za watoto wao? Kununua kiwanja? Kufuga kuku? Kupiga rangi nyumba zao?
Hizo semina kama ni za kiserikali ukae ukijua kuwa huwa wanatangaza sana na hakuna elements zozote za kidini

Kama semina inafanyika kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 au saa 2 usiku halafu mtu anaenda Masjid kila baada ya Masaa kadhaa ataelewa nini?

SAA 7, Alasiri around saa 10 na saa2

Kulialia na kulalamika ni jadi ya waislam kwa nchi hii.
 
Ushauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu

2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?...
Upo sahihi kabisa.

Hawa kulalamika kwa uzembe wao ni kawaida. Wazoee tu
 
Kwenye maslahi, wapinzani wa Jiwe huungana naye na humtetea kwa nguvu zote kwenye ishu ya udini kwa sababu ni dini moja naye na anawapa upendeleo maalum kwenye ajira, teuzi n. k hivyo wanapiga kimya kwenye hilo

Lakini haohao huanza kumlaumu kwa upendeleo wenye mrengo wa ukabila ila hufunga macho kwenye upendeleo wa udini kwa sababu wananufaika zaidi kwa upendeleo wake...
Ni lini 90% ya wakristo waliteuliwa hadi utake kuona matokeo ya kuteua 90% ya waislam? Rais mkristo, makamu wa rais muislam, waziri mkuu muislam, jaji mkuu muislam, rais wa zanzibar muislam, katibu mkuu ccm muislam, ongeza kwenye orodha hii ili kuwatoa hofu na insecurity ndugu zetu waislam.
 
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
Wewe ni mpumbavu na mshamba,Unaongelea dini na ukabila karne ya ishirini na moja..

Certified fool wewe. kwa hiyo hata mitihani tuangalie dini au?

Una uwezi mdogo sana wa kufikiri
 
Mtafika mahali mtasema mkristo azae kwa zamu na mkristo, kwenye timu ya mpira wakristo na waislam wawe sawa kuleta uwiano na siyo ushindi, biashara zisajiliwe kufuata uwiano wa kidini nk. Kwanini serikalini tu?
 
Wakijenga shule nzuri watasoma watoto wale wa kule pia kwani wazazi wao ndio wenye ajira, wenye teuzi na wanaohudhuria semina na workshops kila Mara hivyo wanaweza kulipa ada kwenye shule bora zisizoweza kushindana na zike za kata.

Hivyo hutashangaa kuona wanaokwenda vyuo vikuu wengi wao Ni wale wanaotokakwenye zile shule bora na ghari. Hawa ndio watakaovijaza vyuo vikuu huko muhimbili unakosema. Tatizo sio watoto Bali wazazi wao na wazazi wao sio tatizo Bali waliotoa fursa bila kuzingatia
Hayo mambo ni makosa ya wazazi wako
 
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
Sheikh Ponda sio fala, Lile baraza ni taasisi ya CCM. Amkei muunge Ponda mkono. Amkeni Sasa. Mfumo uliopo hautoi fursa sawa za ajira hata akija rais Buddha ataufata mfumo huohuo
 
Naunga mkono hoja, Jiwe ni mdini mpaka anatia aibu.

Kawanyina nafasi za utumishi serikali mpaka inashangaza sana.

Tunataka serikali adilifu kwa raia wake wote.

Kiukweli kuna ubaguzi wa kimfumo dhifi ya waislamu katika nyanja za utumishi wa umma na serikalini.

Hili ni bomu linalosubiri kupasuka!
Mama samia ni dini gani?
.kassim Majaliwa?
.
Jaji mkuu?
Wewe ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom