Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...

I dont believe kwenye uwiano wa kidini. Tunawapa watu wasiojiweza wala kufaa nafasi za kutuongoza kisa dini zilingane au ziwe sawa. Dunia yetu ilivyo, hata kwenye kila dini, the rule of jungle applies. Kama mtu mvivu, hajiwezi au hana sifa za kuongoza au kufanya kazi fulani, kwanini apewe kazi hiyo?
 
Hata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.

Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.

Wengi wanaolalamika ni incompetent. Wanataka watumie kigezo ambacho hakipo popote pale kupata kazi. Nani kasema kazi zinagawanywa kwa kuangalia dini ya mtu? Haya mawazo muflisi. Wanaoyashadadia ni losers
 
Fursa za kukata mnyororo/mduara wa umaskini(viscious circle/cycle? Of poverty) zipo nyingi kwa karne hii ya 21. Sidhani kama ni wakati wa kutegemea mbeleko au kuajiriwa katika utumishi wa umma.

Lakini pia ajira katika utumishi wa umma ni survival of the fittest sio selection by picking. Lakini pia kabla ya kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzio, je, umeitoa boriti iliyopo kwenye jicho lako?

Mimi ni mfuatiliani sana wa matokeo ya mitihani ya kitaifa katika ngazi mbali mbali za elimu. Hii ni kwa sababu pamoja na kujua kuwa kuna fursa za kuondoa umaskini zaidi ya ajira rasmi tena ya umma, naamini pia kwamba elimu ina mchango mkubwa sana kwenye maendeleo.
 
Sasa mchawi upo hapo kwenye elimu kuanzia Msingi hadi Elimu ya Juu. Katika matokeo ya ngazi ya std VII na kidato cha 4 kwa miaka mitano niliyofuatilia(2014-2019; mikoa inayoongoza mara nyingi ni Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Njombe, Kagera, Shinyanga, Dar es Salaam na mzunguko huo huendelea.

Mikoa inayofanya vibaya ni Tanga, Mtwara, Lindi, Unguja, Pemba na Mzunguko huendelea. Sasa kwa pattern na trend hiyo inayotokea kwenye drawing board, kwenye msingi kabisa, unadhani elimu ya juu na kwenye ajira, ni nani watakuwa wengi?
 
Si muungane October muiondoe hii serikali kama ni ya udini hivyo.

Mnaongea hivyo lkn ikifika uchaguzi mnadanganywa na Bakwata mnaipigia ccm kura kisha baadaye nyie ndio tena wa kwanza kulalamika. Bure kabisa.
 
Hata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.

Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
Sasa we ndio uniambie Walutheri wangefaidika Nini na Lowassa kuwa Rais? Pride? Maana wewe ndio unayetoa shutma
 
Kwenye maslahi, wapinzani wa Jiwe huungana naye na humtetea kwa nguvu zote kwenye ishu ya udini kwa sababu ni dini moja naye na anawapa upendeleo maalum kwenye ajira, teuzi n. k hivyo wanapiga kimya kwenye hilo

Lakini haohao huanza kumlaumu kwa upendeleo wenye mrengo wa ukabila ila hufunga macho kwenye upendeleo wa udini kwa sababu wananufaika zaidi kwa upendeleo wake.

Trust me, laiti angekuwa rais ni muislamu akateua 90% waislamu kwenye post lukuki, hawa wanaomtetea leo Jiwe wangekuwa ndiyo wa kwanza kumuitia udini rais huyo muislamu!

Kuna chuki kali sana ya kimfumo dhidi ya waislamu nchini
 
Hebu geuza kibao 90% ya teuzi kipindi cha raisi muislamu ziwe Waislamu halafu uje uulize maswali kama hayo hapa!

Kiufupi wewe ni mnufaika wa mfumo huu ndiyo maana huwezi kuwaelewa waislamu wakilizungymzia suala hili.

who feels it knows it all.
You just don't get it!
Mimi Wala hata Sina hiyo ya kuangalia Dini za wanaoteuliwa, kiukweli ukiniuliza kipindi Cha kikwete na Magufuli Ni kipindi gani kulikuwa na Waislam wengi ama Wakristo wengi kwenye baraza mawaziri hata siwezi kukujibu.

Na ndio Mimi ni Mkristu na sijui Ni kitu gani nilichokikosa kwa Kikwete kilichosababishwa na yeye kuwa Muislam au kinachonifaidisha kwa Magufuli kinachotokana na Ukristo wake.
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.

Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Acha uongo tunajua kuna list huko zinapitishwa kata huyu weka yule mbona vitu viko wazi labda km wewe ndio hujui.
 
Kwenye maslahi, wapinzani wa Jiwe huungana naye kwenye ishu ya udini

Lakini haohao huanza kumlaumu kwa upendeleo wenye mrengo wa ukabila ila hufunga macho kwenye upendeleo wa udini kwa sababu wananufaika zaidi kwa upendeleo wake.

Trust me, laiti angekuwa rais ni muislamu akateua 90% waislamu kwenye post lukuki, hawa wanaomtetea leo wangekuwa wa kwanza kumuitia udini!

Kuna chuki kali sana ya kimfumo dhidi ya waislamu nchini
Hivi unaweza kuniletea thread za JF za zinazomlaumu Kikwete kupendelea Waislam kwenye uteuzi? Maana za kumlaumu Magufuli zipo nyingi sana
 
Mimi Wala hata Sina hiyo ya kuangalia Dini za wanaoteuliwa, kiukweli ukiniuliza kipindi Cha kikwete na Magufuli Ni kipindi gani kulikuwa na Waislam wengi ama Wakristo wengi kwenye baraza mawaziri hata siwezi kukujibu
Na ndio Mimi ni Mkristu na sijui Ni kitu gani nilichokikosa kwa Kikwete kilichosababishwa na yeye kuwa Muislam au kinachonifaidisha kwa Magufuli kinachotokana na Ukristo wake

Sasa open your eyes, huwezi kufanya selection kila wakati halafu demography moja ya hiyo population yako iko under all the time, hii maana yake ni kuwa kuna factor inayodetermine hizo selection ambapo udini ni most probable!

Let me ask you, Kama Jiwe angekuwa anateua 80% ya kila teuzi zake wawe wasukuma ungeona hakuna tatizo simply because nj wachapa kazi wazuri?
 
Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
Kabla ya kufanya huo utafiti tujiulize proportion ya Waislam kwenye raia wote nchini ni wangapi? Mi shule ya Msingi hakukua na Muislam hata mmoja, Sekondari ambayo ilikuwa Ni shule inayochukua wanafunzi nchi nzima, Waislam hawakufika hata robo, kwa Nini inashangaza kuwaona hata kwenye kazi wakiwa wachache?
 
Sasa open your eyes, huwezi kufanya selection kila wakati halafu demography moja ya hiyo population yako iko under all the time, hii maana yake ni kuwa kuna factor inayodetermine hizo selection ambapo udini ni most probable!

Let me ask you, Kama Jiwe angekuwa anateua 80% ya kila teuzi zake wawe wasukuma ungeona hakuna tatizo simply because nj wachapa kazi wazuri?
Hivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo.

Zanzibar teuzi zake Ni Waislam wote Ila watu watanishangaa nikiwa nauliza eti kwa Nini kwenye SMZ hakuna Wakristo.!
 
Hivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo
Zanzibar teuzi zake Ni Waislam wote Ila watu watanishangaa nikiwa nauliza eti kwa Nini kwenye SMZ hakuna Wakristo.!

kuhusu Zanzibar, mimi. na wewe siyo wazanzibar na wala serikali ya mapinduzi ya Zanzibar siyo chombo chetu kwa hiyo kuangalia wanafanyaje mambo yao kwenye nchi yao ni kwenda off target maana kamwe mimi na wewe hatuwezi kupata nafasi kwenye serikali hiyo maana sisi ni watanganyika.

Hata hivyo ni matumaini yangu kama kuna makundi ya kijamii huko Zenji yanahisi yanabaguliwa basi nayo yatalisema bila woga. Sisi tunakomaa na hii serikali yetu ya JMT

Kuhusu proportion ya Waislamu katika jamii, kuna good number yao proportionally lakini hiyo siyo hoja, hoja ni. kuwa wako underselected kwenye teuzi nyingi za Jiwe. Haiwezekani kila ukiteua basi teuzi zako always zinalalia upande mmoja, hiyo ni indicator ya udini hata mtu ajibaraguze vipi kukataa hilo
 
Sasa Mzee ili ujue mtu yupo under selected ama la lazima uangalie na proportion yake kwenye population kwanza

Maana Kama Kati ya watu million moja mpo laki moja huwezi kutegemea kwenye selection muwe 50/50
Ndio maana nikatolea huo mfano wa Zanzibar wao wapo wengi na Wakristo wachache so haishangazi Waislam wakawa wengi Serikalini kuliko Wakristo
 
Hivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo
Zanzibar teuzi zake Ni Waislam wote Ila watu watanishangaa nikiwa nauliza eti kwa Nini kwenye SMZ hakuna Wakristo.!
Kwa nini mijadala yenye chembe chembe za udini zinaibuka kila unapokaribia Uchaguzi? Na wanaolalamika sana ni ndugu zetu katika Imaan
 
Kabla ya kufanya huo utafiti tujiulize proportion ya Waislam kwenye raia wote nchini ni wangapi?
Mi shule ya Msingi hakukua na Muislam hata mmoja, Sekondari ambayo ilikuwa Ni shule inayochukua wanafunzi nchi nzima, Waislam hawakufika hata robo, kwa Nini inashangaza kuwaona hata kwenye kazi wakiwa wachache?
Siku itakaporuhusiwa kuulizwa wewe dini gani kwenye kura ndio siku tatizo litaisha, na katika haya makundi mawili asietaka hili basi anajua jibu fika kama yeye ni minority. Inashangaza kwa nini dini zipo na zinatambulika ila kujua idadi kundi moja halitaki kabisa kusikia hii habari.
 
Isiishie huko tu Hadi kwenye shughuli binafsi unakuta ni wadini fulani tu ndio wameajiriwa, hili lipo sana. Hapa mamlaka za ajira na mifuko ya Jamii ziliangalie hili maana hata wao wanawajua kupitia list za majina wanayokata michango ya wafanyakazi hii itasaidia kuleta balance.
Huwezi kumpangia mwenye kampuni binafsi amuajiri Nani na nani asimuajili serikali ni yetu sote na tunalipa kodi wote iweje wa dini moja ndio wafaidi wao pekee?
 
Huwezi kumpangia mwenye kampuni binafsi amuajiri Nani na nani asimuajili serikali ni yetu sote na tunalipa kodi wote iweje wa dini moja ndio wafaidi wao pekee?
Wanakiuka kanuni za ajira maana wengine ni Hadi ubadili fun ili upate ajira
 
Tanzania ukiwa na jina linalosound kiarabu arabu utapata shida sana kwenye soko la ajira, maana kuna probability kubwa wenye majina hayo ni waislamu.
Na shida inaanzia hapo!
 
Back
Top Bottom