Mkwavingwa
Member
- Jul 26, 2020
- 87
- 37
Nimeona unatumia mlango wa uchumi katika dini kama sababu ya kuhalalisha hoja yako kwamba dini ni biashara, mfano nyerere aliwahi kusema "ikulu ni mahala patakatifu si pango la walanguzi" the mwisho wa kunukuu, kisha wewe ukaja na hoja kwamba jpm kakiuka usia wa baba wa taifa kwani anafanya suluhisho na wafanya biashara wa barick ikulu na hivyo kageuza ikulu ni pango la walanguzikama nimekosea basi ni kidogo sana, hebu nyoosha