Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Waislamu acheni hizi habari zenu za kibwege, mtu kama kichwani hamna kitu why apewe kazi kisa ku balance ratio ya dini? Hivi inaingia akilini kweli?

Kazi yoyote ile ina qualification zake, na dini ya mtu haiingii kwenye qualification yoyote hapo labda iwe taasisi za watu binafsi ambao wanaajiri kutokana na wanavyojisikia (mfano seminari za kikristu haziwezi kuajiri muislamu pia hivyo hivyo kwa upande wa waislamu)

Karne hii ya 21 msitake kujidai kua ninyi ndio maskini wa kutupwa nchini humu kiasi kwamba hamuwezi kuwasomesha watoto wenu shule binafsi zenye ubora mkubwa. Wala pia msitake kutafuta kichaka cha kujifichia wakati ukweli mnaujua kua mme invest sana kwenye elimu ya dini yenu kiasi cha kuipuzia elimu ya duniani (achana na elimu dunia ya majini ambayo mmeibobea kwelikweli)

Mnasahau kua elimu ya dini na hii formal education vinatakiwa kwenda sambamba, ndio maana kwa wakristu biblia imesema "Mshike sana elimu usimuache aende zake" pia kuna mahala inasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Mfano hai: Wakati Rais Magufuli anamteua yule mama kisarawe ambaye identity yake tu ni muislam, wakati anamuuliza mkuu wa mkoa kuna sehemu aliuliza huyu mtu ni dini gani? kitu pekee alichouliza baada ya kumuona ni una elimu gani yule mama akasema ana masters kisha akateuliwa.. Unadhani angekua na elimu ya kuokoteza angeteuliwa?

Kumbe issue ya msingi hapa ni elimu.

Mambo ya kuonewa huruma katika dunia ya sasa ya kidigital na teknolojia yashapitwa na wakati. Issue ya msingi mu invest sana kwenye elimu ambayo wengi wenu hamtaki kuwasomesha watoto wenu kisa mnadai imekaa ki magharibi (mfano mzuri Adam Haji, baba yake alikua waziri huko somalia lakini alikataa kumsomesha kitu chochote zaidi ya elimu ya dini ya uislam kisa elimu hii ya dunia ni ya kikafiri)

Ni wakati wa taasisi zote za elimu za kiislam kujitathimini na kuona zinaweka uwiano mzuri kati ya hizi elimu mbili, naandika hivi kwa sababu hata overall perfomance shule nyingi za kiislamu hazifanyi vizuri kabisa, au hapa napo mnataka kusema kuna uonevu? Ukija hata katika hizi shule za kata ambazo zimejaa wakristu kibao bado individual performance wakristu bila kujali dhehebu wanafanya vizuri na hii inakupa taswira kua kuna kitu kwenu hakipo sawa katika upande fulani, ndio maana hata mikoa inayoongoza kwa matokeo mabovu mingi ni yenye idadi kubwa ya waislamu.

Ukitaka kutatua kosa siku zote kubali kua umekosea, lakini bila kukubali huwezi kutatua kosa, na wengi mnajua mnapokosea ila ndo hivyo hamtaki kukubali.
 
Unaongea kujifurahisha alafu ukale kitimoto, jiulize enzi hizo kwanini ulibadilishwa mfumo wa mitihani kutoka jina kwenda kwenye namba? Jiulize ile tume iliyoundwa na jk kipindi kile kupima ufaulu wa wanafunzi katika dini ya kiisalm walikuja na majibu gani?

Na ndio silaha yenu eti waislam hawajasoma ndio maana hawateuliwi, hakuna uthibitisho juu ya hili angalia msomi kama prof assad alivyovuliwa cheo chake unadhani kisa nini? Kumbuka Ramadhani dau alikuwa anashambuliwa nini?
Kwani aliyevuliwa cheo chake ni Prof. Assad tu? Wakristo wangapi wamevuliwa vyeo?

Ninyi tunawafahamu kwa kulialia na kulalamika kila Mara

Okay, kule Zanzibar above 90% ni Waislam haswaa katika dola na uongozi serikalini

JE mmejenga vyuo vikuu vingapi? Uongozi wa vyuo ukoje? Ubora wa elimu upoje? Shule za huko Zanzibar zipoje?

Hahaha, mshukuruni Rais mstaafu B.W. Mkapa kukupeni lile jengo la TANESCO pale Morogoro mkakifanya chuo

Ninyi Mnapuuza Ilmu Dunia hata usibishe, halafu mnafikiri kulialia ndio suluhisho

Badilikeni mpige adhana za kusisitiza Elimu dunia.
 
Unaongea kujifurahisha alafu ukale kitimoto, jiulize enzi hizo kwanini ulibadilishwa mfumo wa mitihani kutoka jina kwenda kwenye namba? Jiulize ile tume iliyoundwa na jk kipindi kile kupima ufaulu wa wanafunzi katika dini ya kiisalm walikuja na majibu gani?

Na ndio silaha yenu eti waislam hawajasoma ndio maana hawateuliwi, hakuna uthibitisho juu ya hili angalia msomi kama prof assad alivyovuliwa cheo chake unadhani kisa nini? Kumbuka Ramadhani dau alikuwa anashambuliwa nini?
Profesa Musa Assad..
Profesa lipumba..

Wewe tahira
 
Mmmh!! Umefika mbali, maada Ni kuhusu ajira ambako walioajiriwa Wana chanzo Cha Mapato kisichotetereka kinachotokana na Kodi za walipa Kodi wote nchini. Mtu mwenye ajira ana uhakika wa kipato na uhakika wa kupata mikopo.

Mtu mwenye kipato kisichotegemea hali ya hewa ana uhakika wa kusomesha wanawe, kuwekeza, na kulipia michango mbalimbali. Mada hii inamtaka rais ajae aone Kama watu wenye sifa ya kuajiriwa waajiriwe waajiriwe kwenye nafasi kwa kuzingatia nchi inayo madhehebu mbalimbali Na wanaoitwa kwenye workshops na uteuzi wazingatie hilo pia. Maana ajira Ni ufunguo muhimu sana wa Mambo mengine muhimu kwenye familia ya mwajiriwa. Sasa unachosema hapo uko nje ya mada.
Hakika Taifa watu wana msongo wa mawazo..

Stress zinawasumbua sana
 
Sikuwa na maana ya dini moja tu ndiyo inayoonewa, lakini mtu yeyote atakayeibagua dini nyingine kwenye ajira, semina na uteuzi hafai bila kujali anaikandamiza dini gani. Tunachosema ss pale ofisini au kwenye semina kuwe na mchanganyiko wa kiwiano, kuitana kwa kuzingatia dini, kabila au Kanda fulani.

Maana unapoijaza mapesa jamii moja na kuichacha jamii nyingine kwa bahati mbaya au kwa makusudi inasababisha kuipatia ufunguo wa maendeleo jamii moja na kuinyanganya ile nyingine.

Mfano, Kuna wakati taifa bila kujuwa lilikuwa linatumia pesa nyingi sana kulisimesha kabila moja kitu kilichosababisha kuwa na waajiriwa wengi sana kutoka kabila hilo na kabila hilo likatumia pesa hizo za ajira kuwekeza kwenye elimu za watoto wao, kila sehemu utawakuta wapo
Wewe ni mpumbavu,Una stress za maisha.

Hiyo dini yako unafahamu chanzo chake au ?
.someni historia,Mbona wahindi na baniani watanzania hawalaumu nafasi za kazi
 
Siongei kujifurahisha, nawashauri tuu ndugu zangu. Japo ni mla Kitimoto lakini ushauri wangu Kama ukiweka hisia pembeni una maana, baniani mbaya kiatu chake dawa. Ni kweli ulibadilishwa mfumo toka kutumia majina mpaka namba,na Mwenyekiti wa NECTA akapewa mtu wa dini yenu Safi.

Lakini jiulize, huu mwaka wa ngapi hayo yamefanyika? Na jee kuna lolote limebadilika kwenye ufaulu hasa shule zinazomilikiwa na taasisi za dini yenu? Ninakupa assignment, nenda DUCE leo, chukua sampuli ya darasa moja la first year, hesabu watu wa dini yako ulinganishe na watu wa dini zingine. Watu wa dini yako hawawezi kufikia hata idadi ya dhehebu moja tuu la RC. Ndalichako mlimuonea bure. Mpaka Sasa shule zenu zinaongoza kwa kuburuza mkia..
Kwasababu Mindset zao zimejaa Udini na fikra ya kwamba wanaonewa basi hata kwa haya uliyoandika watalialia tu na hawatatumia muda kuyafakari uliyoandika na kukuelewa.

Wanaendeshwa na Hisia, Jazba na Chuki.
 
Tatizo la Uislam na Waislam Ni Ultra-conservatism,yaani uhafidhina uliopitiliza kiasi kwamba hata elimu na mifumo ya Dunia ya kisasa wanaoona inaendana kinyume na maagizo ya mtume wao kwa hiyo haifai.

Hawa ndio wanaoongoza kwa kupeana ajira kwa misingi ya Dini halafu ndio wanatoa shutuma kwa wengine
Ukweli 100%
 
Mtafika mahali mtasema mkristo azae kwa zamu na mkristo, kwenye timu ya mpira wakristo na waislam wawe sawa kuleta uwiano na siyo ushindi, biashara zisajiliwe kufuata uwiano wa kidini nk. Kwanini serikalini tu?
Mwalimu Nyerere alisema, hii issue ya udini ambayo ni sawa na ubaguzi ni mbaya sana na haipaswi kuichekea chekea hata kidogo

Hata wakibaki waislamu wataanza kuulizana wewe mshia au msulusuna (samahani kama nimekosea kuziandika hizi aina zao mbili za waislam ila zina sound kitu kama hicho)

Issue ya msingi hapa ni ELIMU, ELIMU, ELIMU na sio ELIMU YA DINI, ELIMU YA DINI, ELIMU YA DINI.

Mwezi uliopita nakumbuka nilienda mkoa fulani huko ndani ndani nikakuta wakristu (wakatoliki) wanachangishana michango wajenge chekechea na shule ya msingi ambayo haitakua inabagaua dini wala kabia la mtu, mtu yoyote anaweza kwenda kusoma, awe muislamu, mlokoke n.k

Na ukiangalia jamii ya watu waliokua wanachangishana ni watu wa kawaida kabisa tena asilimia kubwa ni wakulima wa small scale agriculture.. Ingekua wenzetu wangechangishana nje ndani wapige misikiti ya kutosha, sio jambo baya lakini dini inatakiwa imkomboe mtu kiroho na kimwili ikiwemo kumfutia ujinga kichwani
 
Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
Serikali ije kukuzuia kutawadha na kuondoa mkeka wako kibarazani na kukupeleka darasani?

Hiyo si kazi ya serikali, wekezeni katika elimu acheni kulialia kama kawaida yenu
 
Hata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.

Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
Ilboru, Pugu na zingine nyingi sana za Kikristo zilitaifishwa ili na ninyi msome ila bado tu mnaishia kunawa na kubinuka

Tatizo lenu ni mfumo na hamtaki kujitathmini na kukubali
 
Ilboru, Pugu na zingine nyingi sana za Kikristo zilitaifishwa ili na ninyi msome ila bado tu mnaishia kunawa na kubinuka

Tatizo lenu ni mfumo na hamtaki kujitathmini na kukubali
Ongeza na Kantalamba boys
 
Ushauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu

2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?...
Ur a Great thinker
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.

Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Sio kweli.
 
Back
Top Bottom