Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

Hivi mkuu, kipindi Cha Kikwete Waislam walikuwa na afadhali gani ukilinganisha na kipindi Cha Magufuli? Au kipindi Cha Mwinyi walikuwa na afadhali gani ambazo Sasa hazipo?

Walikuwemo angalau angalau wanaonekana serikalini japo walikuwa bado ni wachache kulinganisha na wakiristo lakini hawakuwa wachache kiwango cha kutisha kama ilivyo leo kwenye utawala huu. Huu utawala ni funga kazi, umewapiga palanja waislamu kwenye nafasi za utumishi serikalini kupita kiasi, utawala huu umewapa nafasi waislamu wachache mno mno mpaka aibu.
 
Umeongea kwa staha na tahadhri kubwa sana mkuu. Bahati mbaya hautasikika. Wataokusikia watakuita wewe ndio mdini na hilo unalotaka lifanyike halitaweza kutekelezwa

Aliwahi kusema Mwl. Nyerere kua Watanzania wengi wanangozi nyembamba sana kuhusiana na suala la dini. Ukiwachuna kidoogo tu watajitokeza kwa misimamo ya dini zao.

Uwiano unaouzungumzia wa kutokua sawa kama ungekua unaathiri dini fulani miongoni mwa hizo unazozungungumzia kelele zake zingesikika duania nzima. Kwa mfano katika siku za mwanzo za utawala wa awamu hii kuna baadhi ya watu walikua wanadai teuzi nyingi zina harufu ya ukabila na udini.
Hilo la bodi ya Parole Ni la link Hilo? Waziri Mkuu yupi?
 
Walikuwemo angalau angalau wanaonekana serikalini japo walikuwa bado ni wachache kulinganisha na wakiristo lakini hawakuwa wachache kiwango cha kutisha kama ilivyo leo kwenye utawala huu. Huu utawala ni funga kazi, umewapiga palanja waislamu kwenye nafasi za utumishi serikalini kupita kiasi, utawala huu umewapa nafasi waislamu wachache mno mno mpaka aibu.
Sasa kwani kuonekana Serikalini ndio Kuna tija gani kwa Waislam kiujumla? Kwani kiongozi Muislam ama Mkristo akiwa Serikalini anakuwa ana serve nchi au waumini wa Dini yake?

Mfano Sasa hivi Waziri Mkuu Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo isingekuwepo Kama angekuwa Mkristi? Waziri Kigwangala Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo haitakuwepo endapo atabadili Dini na kuwa Mkristo?

Waziri wa fedha Ni Mkristu he huyu analeta faida gani kwa Wakristo ambayo isingekuwepo angekuwa Muislam?
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.

Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini.

Na si kwamba wanabaniwa, Ila ufaulu wao mdogo unawanyima fursa sawa ya kudahiliwa. Nawashauri, wajifunze kwetu, nguvu wanayotumia kujenga nyumba nzuri za ibada hapa mjini, wazitumie pia kujenga shule Bora Kama za kwetu. Kwa elimu za Ubungo Seminary hawawezo kushindana na Msolwa.

Asante.

Wacha kufikiri kimakengeza! Kuna kitu kinaitwa MFUMO KRISTO.... ..bado nautafakari.
 
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
Hii ni moja ya rushwa ngumu sana. NSSF mfano.
 
Sasa kwani kuonekana Serikalini ndio Kuna tija gani kwa Waislam kiujumla? Kwani kiongozi Muislam ama Mkristo akiwa Serikalini anakuwa ana serve nchi au waumini wa Dini yake?
Mfano Sasa hivi Waziri Mkuu Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo isingekuwepo Kama angekuwa Mkristu?
Waziri Kigwangala Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo haitakuwepo endapo atabadili Dini na kuwa Mkristo?
Waziri wa fedha Ni Mkristu he huyu analeta faida gani kwa Wakristo ambayo isingekuwepo angekuwa Muislam?
Maswali yako sio sahihi, Kama Kigwangala Ni muislam akipata fedha bila shaka atasonesha watoto wake ambao Ni waislam, Hawa watoto na wajukuu zake wanaweza kuja kuwa kwenye decision making positions za nchi huko mbele ya safari na huenda wakafanya kitu kwa waislam.

Kumbuka kuwa Hawa wanaolalamikiwa kwa ubaguzi wa kidini leo Ni Watoto na wajukuu za watu waliobadili dini na kusoma wakati wa ukoloni kwenye shule za mission. Hivyo usidharau mtu wa dini fulani kushisha nafasi fulani leo. Kuna faida za mojakwa moja na Kuna sizizo za moja kwa moja kwa jamii yake. Nyingine Ni za muda mfupi na nyingine za muda mrefu
 
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu..
Kwani wewe uliomba kazi gani ukaulizwa dini 🎎
 
Mmmh!! Umefika mbali, maada Ni kuhusu ajira ambako walioajiriwa Wana chanzo Cha Mapato kisichotetereka kinachotokana na Kodi za walipa Kodi wote nchini. Mtu mwenye ajira ana uhakika wa kipato na uhakika wa kupata mikopo.

Mtu mwenye kipato kisichotegemea hali ya hewa ana uhakika wa kusomesha wanawe, kuwekeza, na kulipia michango mbalimbali. Mada hii inamtaka rais ajae aone Kama watu wenye sifa ya kuajiriwa waajiriwe waajiriwe kwenye nafasi kwa kuzingatia nchi inayo madhehebu mbalimbali Na wanaoitwa kwenye workshops na uteuzi wazingatie hilo pia. Maana ajira Ni ufunguo muhimu sana wa Mambo mengine muhimu kwenye familia ya mwajiriwa. Sasa unachosema hapo uko nje ya mada.
Nimejibu hivyo ili uone ilivyo kuwa ngumu kuwepo uwiano kutokana na sababu mbali mbali
 
Maswali yako sio sahihi, Kama Kigwangala Ni muislam akipata fedha bila shaka atasonesha watoto wake ambao Ni waislam, Hawa watoto na wajukuu zake wanaweza kuja kuwa kwenye decision making positions za nchi huko mbele ya safari na huenda wakafanya kitu kwa waislam.

Kumbuka kuwa Hawa wanaolalamikiwa kwa ubaguzi wa kidini leo Ni Watoto na wajukuu za watu waliobadili dini na kusoma wakati wa ukoloni kwenye shule za mission. Hivyo usidharau mtu wa dini fulani kushisha nafasi fulani leo. Kuna faida za mojakwa moja na Kuna sizizo za moja kwa moja kwa jamii yake. Nyingine Ni za muda mfupi na nyingine za muda mrefu
watoto wake watakuwa viongozi na wakafanya kitu kwa Waislam? kwani viongozi wa Umma Waislam huwa wanafanya favor gani kwa Waislam? Wanafanya vitu gani kwa Waislam ambavyo kiongozi Mkristo hawezi kuwafanyia kamwe?

Hivi unaona kauli yako inavyothibitisha ubaguzi wako? una attitude ya kuwaza kuwa Kiongozi Muislam anawafaa zaidi Waislam kwa kuwa maamuzi yake yanakuwa yanawabeba Waislam..! Magufuli ni maamuzi gani kayafanya yaliyowanufaisha Wakristo ambayo angekuwa Muislam asingeweza kufanya? still bado tupo palepale tu,
 
Pia Wanawake (wazazi) wanandoa waruhusiwe kwenda kwenye jumuiya na shughuli mbali mbali, sio Kila kitu afanye mmewe, hata kwenda kununua mchicha sense mumewe, mke akae ndani, mchango wa mama kuhusu "child raising" ni mkubwa kuliko wa baba, hivyo mama ajumuishwe katika majukumu Ila hata baba akitangulia mbele za haki mama asiishie kuwa ..
Wakijenga shule nzuri watasoma watoto wale wa kule pia kwani wazazi wao ndio wenye ajira, wenye teuzi na wanaohudhuria semina na workshops kila Mara hivyo wanaweza kulipa ada kwenye shule bora zisizoweza kushindana na zike za kata. Hivyo hutashangaa kuona wanaokwenda vyuo vikuu wengi wao Ni wale wanaotokakwenye zile shule bora na ghari. Hawa ndio watakaovijaza vyuo vikuu huko muhimbili unakosema. Tatizo sio watoto Bali wazazi wao na wazazi wao sio tatizo Bali waliotoa fursa bila kuzingatia
 
Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?
Mkuu kwenye hili wacha tu. Idadi ya watu kule haizidi 1.5 m. Kuna vyuo vikuu vitatu yaani SUZA, ZU, Alsumeit na matawi ya OU, MNyerere. Hivyo NI vitano, yaani Kila watu laki tatu wanna chuo kikuu. Udifananishe kabisa. Kumbuka TZ ina watu mil. 60. Jee Kuna vyuo vikuu vingapi,? Wakati mwingine fikiri kabla kuamua kuandika.
 
Ile dini nyingine waumini wake hawajui kuongoza hata madrasa tu.Walipewa vyeo vingi awamu iliyopita,wakaharibu sana. Wakasabisha mauaji ya wakristu na waislamu.Lakin waliokuwa wanauawa zaidi ni wakristu.

Mimi siku nikiona mgombea wa urais kupitia CCM ni wa dini ile nachoma kadi ya kupigia kura.
 
watoto wake watakuwa viongozi na wakafanya kitu kwa Waislam? kwani viongozi wa Umma Waislam huwa wanafanya favor gani kwa Waislam? Wanafanya vitu gani kwa Waislam ambavyo kiongozi Mkristo hawezi kuwafanyia kamwe?

Hivi unaona kauli yako inavyothibitisha ubaguzi wako? una attitude ya kuwaza kuwa Kiongozi Muislam anawafaa zaidi Waislam kwa kuwa maamuzi yake yanakuwa yanawabeba Waislam..! Magufuli ni maamuzi gani kayafanya yaliyowanufaisha Wakristo ambayo angekuwa Muislam asingeweza kufanya? still bado tupo palepale tu,

Hebu geuza kibao 90% ya teuzi kipindi cha raisi muislamu ziwe Waislamu halafu uje uulize maswali kama hayo hapa!

Kiufupi wewe ni mnufaika wa mfumo huu ndiyo maana huwezi kuwaelewa waislamu wakilizungymzia suala hili.

who feels it knows it all.
You just don't get it!
 
Na ukabila pia

Shida ni kwamba ajae anaweza kuwa huyohuyo jiwe
Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.

Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi...
Hata ukienda vyuo vingi Kama UD, Mzumbe, SUA n.k ukifanya observation utagundua hawako wengi
 
Hata ukienda vyuo vingi Kama ud, mzumbe, sua n.k ukifanya observation utagundua hawako wengi
Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
 
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.

Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...

Kuna Ukweli mmoja ambao nataka kuuandika kisha nafuta, ila ngoja niache.

Mimi ni Muislamu ila ukiona Muislamu anashindana na asiye kuwa Muislamu ujue Uislamu wake ni wa kutilia mashaka.

Nyinyi hamuwezi kushindana na sisi wala sisi hatushindani na nyinyi, iko wapi Mbingu na iko wapi Ardhi, na hatuwezi kufanana kwa lolote.

Naomba niishie hapa.

Ahsante.
 
watoto wake watakuwa viongozi na wakafanya kitu kwa Waislam? kwani viongozi wa Umma Waislam huwa wanafanya favor gani kwa Waislam? Wanafanya vitu gani kwa Waislam ambavyo kiongozi Mkristo hawezi kuwafanyia kamwe?

Hivi unaona kauli yako inavyothibitisha ubaguzi wako? una attitude ya kuwaza kuwa Kiongozi Muislam anawafaa zaidi Waislam kwa kuwa maamuzi yake yanakuwa yanawabeba Waislam..! Magufuli ni maamuzi gani kayafanya yaliyowanufaisha Wakristo ambayo angekuwa Muislam asingeweza kufanya? still bado tupo palepale tu,
Hata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.

Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
 
Sasa kwani kuonekana Serikalini ndio Kuna tija gani kwa Waislam kiujumla? Kwani kiongozi Muislam ama Mkristo akiwa Serikalini anakuwa ana serve nchi au waumini wa Dini yake?
Mfano Sasa hivi Waziri Mkuu Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo isingekuwepo Kama angekuwa Mkristu?
Waziri Kigwangala Ni Muislam, je huyu anakuletea faida gani ambayo haitakuwepo endapo atabadili Dini na kuwa Mkristo?
Waziri wa fedha Ni Mkristu he huyu analeta faida gani kwa Wakristo ambayo isingekuwepo angekuwa Muislam?
Maswali ya msingi sana.
 
Back
Top Bottom