Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,642
- 21,266
Alipowaambia wapiga kura ataongoza kama Magu, Uhuru akatake advantage. Nani anataka kuishi kama shetani? 🙂
Mabavicha acheni kutunga habari za uongo. Hiyo ilikuwa miaka kadhaa nyuma.Habari umeielewa lakini, kwani akiwa anaongoza kikao hawezi kupokea wageni.
Kondoo akitembea na mbuzi????Urafiki wa Raila na Pombe umeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita,msimchagulie Rais marafiki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huenda Magufuli anamtambua Raila kuwa ni Rais wa Kenya.!
Kwako kinacho matter zaidi ni picha au maelezo.Acha uongo wewe, hiyo picha sio ya leo.
Unapata faida gani kuweka picha zisizoendana na habari, kwa madhumuni ya kupotosha umma wewe bavicha?Kwako kinacho matter ni picha au maelezo.
Hahahaa kwani kwenye picha sio Raila na Magufuli.Mabavicha acheni kutunga habari za uongo. Hiyo ilikuwa miaka kadhaa nyuma.
![]()
![]()
Upuuzi mtupu. Hiyo picha imechukuliwa leo wewe kibwengo?Hahahaa kwani kwenye picha sio Raila na Magufuli.
Nilitaka kusema hivyo pia! Licha ya protocol! Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Na usumbufu kwa raia! Yaani Rais na msafara wake wanachoma mafuta kwenda kumpokea rafiki yake ambaye hana cheo chochote cha kustahili kupokelewa na rais, Airport?Naona ameenda kumpokea mgeni airport. Sijui protocal zinasemaje? Anyway kuna jambo linaendelea!
Kupotosha nini kwani Raila hayupo Tanzania.Unapata faida gani kuweka picha zisizoendana na habari, kwa madhumuni ya kupotosha umma wewe bavicha?
Wewe kwa nini unakuwa mpuuzi kiasi hiki. Kwa hiyo ndio utumie picha ya uongo sio?Kupotosha nini kwani Raila hayupo Tanzania.
Hawa wapuuzi wanafikiri uongo utawapandisha chati.Raila yuko Zanzibar na siyo dar hii picha siyo ya leo acheni uzandiki, alaf Urafiki wa Magufuli na Raila hauwezi kufa kisa eti kawa Rais wapo waliokua na marais na wakawa na marafiki lukuki walioliibia Taifa hadharani na sirini
Kwani Zanzibar na Dar ni dk ngapi.Raila yuko Zanzibar na siyo dar hii picha siyo ya leo acheni uzandiki, alaf Urafiki wa Magufuli na Raila hauwezi kufa kisa eti kawa Rais wapo waliokua na marais na wakawa na marafiki lukuki walioliibia Taifa hadharani na sirini
Kwani kwenye picha ni Mugabe na Magufuli kama hamna hoja bora mlale.Wewe kwa nini unakuwa mpuuzi kiasi hiki. Kwa hiyo ndio utumie picha ya uongo sio?