- Thread starter
- #141
kwani huoni wewe MBWAKOKO wa Lumumba?Magufuli kampokea odinga wapi ww NYUMBU?
kwani huoni wewe MBWAKOKO wa Lumumba?Magufuli kampokea odinga wapi ww NYUMBU?
Matusi ya nn mkuu?Hiyo picha ya mwaka gan?kwani huoni wewe MBWAKOKO wa Lumumba?
Ukija kwa matusi nina vocabulary dazani ya matusi ukija kwa hoja nakujibu kwa hoja, hiyo picha ni ya makitaba nimekopi kama ilivyokuja na habari yenyewe.Matusi ya nn mkuu?Hiyo picha ya mwaka gan?
Usifanye hili jukwaa wote ni wapuuz toka UFIPA. Umeleta habar ya KUPOTOSHA ili iwe nn?hbr inasema odinga kaenda Zanzibar wewe kwa makusudi unaleta story za magufuli kampokea odinga Dar.haikutosha kusema odinga yuko Zanzibar?Unaweza kututhibitishia kuwa magufuli kaenda kumpokea Odinga?wewe na NYUMBU wenzio wote mnajadl magufuli kwenda kumpokea Airport odinga na mnamwaga povu kweli kuwa sio haki.Nyinyi kweli ni MAKALAI.Ukija kwa matusi nina vocabulary dazani ya matusi ukija kwa hoja nakujibu kwa hoja, hiyo picha ni ya makitaba nimekopi kama ilivyokuja na habari yenyewe.
Why Raila went to Tanzania - Salim Lone
Wewe ni punga tu nani kasema Odinga yuko Dar au unataka kutuambia alikuja Dar usiku kwa siri akarudi Zanzibar kupumzika hadi leo?Usifanye hili jukwaa wote ni wapuuz toka UFIPA. Umeleta habar ya KUPOTOSHA ili iwe nn?hbr inasema odinga kaenda Zanzibar wewe kwa makusudi unaleta story za magufuli kampokea odinga Dar.haikutosha kusema odinga yuko Zanzibar?Unaweza kututhibitishia kuwa magufuli kaenda kumpokea Odinga?wewe na NYUMBU wenzio wote mnajadl magufuli kwenda kumpokea Airport odinga na mnamwaga povu kweli kuwa sio haki.Nyinyi kweli ni MAKALAI.
Kasome ulichoandika before hiyo habari.Umeandika Odinga yuko Tanzania kumtembelea magufuli. Na picha inaelezea Tukio la odinga kumtembelea magufuli. Je ni kwel odinga yuko Tanzania kumtembelea magufuli na picha inaonesha ndo anampokea. Na ukisoma comments utaona watu wanalaani sana hicho kitendo. Huon umeleta hbr isiyo sahihi?Kulikua na umuhim gan kuongezea maelezo yako kuwa odinga kaja Tanzania kumtembelea magufuli?Kwanini hbr yako isingekuwa kuhusu Zanzibar tu na haijulikan yuko kwa sabb gan?Wewe ni punga tu nani kasema Odinga yuko Dar au unataka kutuambia alikuja Dar usiku kwa siri akarudi Zanzibar kupumzika hadi leo?
Ingekuwa habari ya uongo ingefika pg ya 8, heading inasema Raila yuko Tanzania kwani Zanzibar siyo Tanzania.Kasome ulichoandika before hiyo habari.Umeandika Odinga yuko Tanzania kumtembelea magufuli. Na picha inaelezea Tukio la odinga kumtembelea magufuli. Je ni kwel odinga yuko Tanzania kumtembelea magufuli na picha inaonesha ndo anampokea. Na ukisoma comments utaona watu wanalaani sana hicho kitendo. Huon umeleta hbr isiyo sahihi?Kulikua na umuhim gan kuongezea maelezo yako kuwa odinga kaja Tanzania kumtembelea magufuli?Kwanini hbr yako isingekuwa kuhusu Zanzibar tu na haijulikan yuko kwa sabb gan?
Ttz sio kufika page ya ngap Ttz ni nini kinajadiliwa. Je ni kweli Magufuli kampokea odinga Tanzania?Habari inasema odinga kaenda Zanzibar wewe unaleta story za magufuli kampokea odinga. Na hakuna anayejadili odinga kwenda Zanzibar,wote wanajadili kwann magufuli ampokee odinga. Na ili kusidia propaganda zako umeunga na picha za zaman kuonesha kweli Magufuli kampokea odinga Tanzania.
Yan Magu anachokitafuta Kenya atakipata!
Kumbe kinachokuuma ni Odinga kumtembelea Magufuli pole, kwani ni mara ya kwanza kumtembelea, sio Dar tu hata Chato ameshaenda.Ttz sio kufika page ya ngap Ttz ni nini kinajadiliwa. Je ni kweli Magufuli kampokea odinga Tanzania?Habari inasema odinga kaenda Zanzibar wewe unaleta story za magufuli kampokea odinga. Na hakuna anayejadili odinga kwenda Zanzibar,wote wanajadili kwann magufuli ampokee odinga. Na ili kusidia propaganda zako umeunga na picha za zaman kuonesha kweli Magufuli kampokea odinga Tanzania.
Hapo ndipo mambo ya huyu jamaa yanaponishinda. Rafiki yako asiye na nafasi kama yako anakuja Nchini unaenda kumpokea kama kiongozi wa Nchi? Kama hawatokuwa chanzo cha kuvunja EAC, Sisi yetu macho na masikio.
Zama hizi hakuna siri ndugu yangu... mambo yote hadharani au unataka na jina la huyo dada hotel na namba ya chumba alichofikia.Wewe umelishwa ubuyu na umemung'unya! Zanzibar kwenyewe hawajui hata kama yupo nchini afu picha ya zamani imewekwa na wajinga wengi wameingia kingi na kuanza kutoa povu! Kutumia muda kujiridhisha kwa kila jambo ni vema!!!
Haya ndiyo waafrika wanayoyajuaZama hizi hakuna siri ndugu yangu... mambo yote hadharani au unataka na jina la huyo dada hotel na namba ya chumba alichofikia.
View attachment 635567 View attachment 635568
Kuna umuhim wa kuunda special forum for MAKALAI members.Kumbe kinachokuuma ni Odinga kumtembelea Magufuli pole, kwani ni mara ya kwanza kumtembelea, sio Dar tu hata Chato ameshaenda.
View attachment 635499
Hawatoweza kakaWangefanya siri tu..
Haijakaa vizuri ki diplomasia..
Tusubiri kenya ata hit back vipi 2020..
Mkuu wabongo ni watu wapuuzi sanaTuache kupotosha umma jamani
Hiyo picha ni ya muda mrefu mno, kabla hata mh Magufuli hajawa Rais wa JMT
Leo tarehe 20/11/2017, mh Rais na mwenyekiti wa ccm, yupo ikulu anaogonza kikao cha kamati kuu
Kilichopotoshwa ni kitu gani kwani hayupo Tanzania.Mkuu wabongo ni watu wapuuzi sana
wanapenda kudandia mambo pasi kuwa
na ushahidi ....kapicha tu bila hata ya
ku reason properly washatunga yao