ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,859
Picha ambayo inamuonesha yupo na MaguKilichopotoshwa ni kitu gani kwani hayupo Tanzania.
kifupi ni ya zamani...watu wamecoment mbaya
kabisa
Picha ambayo inamuonesha yupo na MaguKilichopotoshwa ni kitu gani kwani hayupo Tanzania.
Hizo photo shopZama hizi hakuna siri ndugu yangu... mambo yote hadharani au unataka na jina la huyo dada hotel na namba ya chumba alichofikia.
View attachment 635567 View attachment 635568
he is president not ordinary manOk seen,Real friendship never end despite up and down.Real family never end despite up and down, Congratulations Mr president
Wewe unaangalia picha au unasoma habari.Picha ambayo inamuonesha yupo na Magu
kifupi ni ya zamani...watu wamecoment mbaya
kabisa
Tulipoleta habari za Mugabe kupinduliwa mlisema uzushi Lumumba wakatunga propaganda eti ameliambia na jeshi limpindue, tangu jana Lumumba hawaongelei habari za Zimbabwe.Hizo photo shop
huna tofauti na wazushi ......ambao
kazi yao ni kuzusha mambo
Wengine hilo hawalioni.Huu haukuwa wakati muafaka raila kukaribishwa Dar. Itaharibu uhusinano wetu na Kenya