thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Yan Magu anachokitafuta Kenya atakipata!
Kuna Tatizo gani Magufuli kutembelewa na Raila Odinga alieshindwa na Uhuru Kenyatta?
Tena Mahakama ndo imesema kashindwa, na Raila Odinga ndo mmoja wa waasisi wa Mahakama hiyo!
Uchaguzi Kenya umekwisha na maisha lazima yaende