Raila Odinga yuko nchini kumtembelea rais John Pombe Magufuli

Raila Odinga yuko nchini kumtembelea rais John Pombe Magufuli

Watajuta hata kuwaza tu kwamba kuna siku hizo hifadhi zitakuwa mali ya Kenya na ulivyo mjinga unatamani hata mkeo at.o.mob.we na jirani yako
 
Mmhh... Siiamini hii habari, maana hii mitandao kwa unaaa hawajambo, kama ni kweli bhac inashangaza kiaina na tutamsahau yule mzee wa itapendeza zaidi!😀
 
Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Raila Odinga aliyekuwa mgombea urais wa Kenya leo baada ya mahakama nchini humo kutupilia mbali kesi ya chama chake ODM iliyokuwa inapinga ushindi wa Uhuru Kenyatta.
View attachment 634298
=============================

Nasa leader Raila Odinga left the country for Zanzibar on Sunday evening ahead of the Supreme Court ruling.

This was confirmed by his longtime adviser Salim Lone, in an interview with New York Times.

“The unrest pushed Mr Odinga out of the country. He left Kenya on Sunday night, according to Salim Lone, a longtime adviser to Mr Odinga and his political party. He is now in Zanzibar, off the coast of mainland Tanzania, Mr. Lone said,” reported NYT.

On Monday, the Supreme Court upheld president Uhuru Kenyatta’s victory following the October 26 election.

In a summary judgment read by Chief Justice David Maraga, the six judges unanimously said the two petitions, filed by former assistant minister Harun Mwau and another by Njonjo Mue and Khelef Khalifa, were not merited.

“The court has unanimously determined that the petitions are not merited,” Justice Maraga said.

“As a consequence, the presidential election of 26th of October is hereby upheld.”

Jubilee supporters held street celebrations in towns across after the verdict.

Mr Kenyatta and his deputy William Ruto will be sworn in on Tuesday November 28.

Source: Nairobi News

Tuache kupotosha umma jamani
Hiyo picha ni ya muda mrefu mno, kabla hata mh Magufuli hajawa Rais wa JMT
Leo tarehe 20/11/2017, mh Rais na mwenyekiti wa ccm, yupo ikulu anaogonza kikao cha kamati kuu
 
Tuache kupotosha umma jamani
Hiyo picha ni ya muda mrefu mno, kabla hata mh Magufuli hajawa Rais wa JMT
Leo tarehe 20/11/2017, mh Rais na mwenyekiti wa ccm, yupo ikulu anaogonza kikao cha kamati kuu
Habari umeielewa lakini, kwani akiwa anaongoza kikao hawezi kupokea wageni.
 
Moja kwa moja tunaeza link dotts mheshimiwa pombe nadhan swala lisu kutibiwa na Kupewa ulinzi Kenya ameliona Kama uadui .....alivo na Roho ya kutu Sasa ana onesha hadharani revange yake kwa Kum host odinga nyway Kenyatta na wewe mpokee Lowasa Kama rais kabisa
 
Yaani mtu aliyeshindwa anapokelewa na Rais airport? Hau alikagua na gwaride?
 
Hapo ndipo mambo ya huyu jamaa yanaponishinda. Rafiki yako asiye na nafasi kama yako anakuja Nchini unaenda kumpokea kama kiongozi wa Nchi? Kama hawatokuwa chanzo cha kuvunja EAC, Sisi yetu macho na masikio.
Mbona Uhuru Kenyatta alimpokea Lowasa na kuzunguka naye kwenye mikutano!!! So, hiyo mliona Sawa waungwana?
 
inaweza kuwa ni ziara yenye faida kwani kama amemuomba afanye kitu gani baada ya kilichotokea bas8 Mkuu anaweza akamwambia atulie waijenge Kenya.
Kama Raila ataitikia huo wito utakuwa ni mchango mkubwa sana!
 
Matokeo yakianza kutangazwa ndio mnakumbuka Tume ya Uchaguzi sio huru!
Siyo wakati huo tu!! Hata kipindi cha campaign ni kama unashindana mtu aliyefungwa mikono. Ni upuuzi hizi chaguzi za bongo
Urafiki wa Raila na Pombe umeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita,msimchagulie Rais marafiki.
Mimi najiuliza swali moja tu. Kama mtu unapata ujasiri wa kumualika mpinzani wa jirani yako!! Una mfanyia na dhifa, na kum treat kibinadamu, vipi unashindwa kukaa na wapinzani wa hapa na kuwa treat pia kibinadamu na kuwasikiliza ??!! UNAFKI

Unafki unawaangamiza viongozi wa Africa wa kuwaona wapinzani wao wa ndani kama maadui!! Lakini wa nje unamuandalia dhifa
 
Back
Top Bottom