Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Peleka bea wako huko hayawani weweKwani Zanzibar na Dar ni dk ngapi.
Peleka bea wako huko hayawani weweKwani Zanzibar na Dar ni dk ngapi.
Wewe huna hoja yeyote ile. Umebainika kuwa ni muongo wa kutupwa. Unasema hiyo picha ni ya leo? Ha ha ha.Kwani kwenye picha ni Mugabe na Magufuli kama hamna hoja bora mlale.
Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Raila Odinga aliyekuwa mgombea urais wa Kenya leo...
Umeuliza swali la msingi sana na la Akili kwelimtu anayetaka kenya ijitenge sehemu mbili analakiwa na Rais wa nchi jirani,ingekuwa kina mbowe wamefanya ujinga kama wa Raila ,ikatokea Uhuru kawalaki hivi huyu wa kwetu angejisikiaje?
Kuwa na akili NYUMBU wewe.Hiyo sio picha ya leo na HAKUNA maelezo yanayosema magufuli kumpokea Odinga Airport. Yani hata kuumiza akili kujua magufuli alikua anaendesha kikao hutaki.Nilitaka kusema hivyo pia! Licha ya protocol! Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Na usumbufu kwa raia! Yaani Rais na msafara wake wanachoma mafuta kwenda kumpokea rafiki yake ambaye hana cheo chochote cha kustahili kupokelewa na rais, Airport?
Huu uzombie ni wa kiwango kisicho na mpinzani!
Unafaidika vipi kulazimisha kuwa Raila kaja Dar kwa magufuli na kupost picha za zaman?Tufanye kaja na kaenda kumpokea Airport,Niambie urafiki wa raila na magufuli umeanza lini?Kipind odinga ni wazir mkuu ni kipind magufuli ni wazir na ndo kipind magufuli na chadema kwa ujumla ni marafik wa odinga. Na ukiangalia magufuli alikua CCM lkn odinga ODM chama pinzani na ilitegemewa viongoz wa CCM wawe karibu sana na upande wa Kenyata lkn sio odinga. Lkn kutokana urafiki wa magufuli na odinga sio wa kisiasa ndo maana tuliona magufuli ni Rafiki wa odinga ambaye ni Rafiki wa chama chake pinzani. Na hatukuona CCM ikimuonya magufuli kushirikiana na odinga kati odinga ni Rafiki mkubwa wa mahasimu wao kisiasa.Kwani Zanzibar na Dar ni dk ngapi.
We mgonjwa kaa kimya hata kama angeweka picha ya miaka 20 nyuma bado ujumbe Ni uleule,kuwa Ni magu na railaHawa wapuuzi wanafikiri uongo utawapandisha chati.
Duh! nilifikiri utasema Raila sio rafiki wa Magufuli, nilifikiri utasema Raila hayupo Tanzania, kama yote hayo unayakubali then povu la nini.Unafaidika vipi kulazimisha kuwa Raila kaja Dar kwa magufuli na kupost picha za zaman?Tufanye kaja na kaenda kumpokea Airport,Niambie urafiki wa raila na magufuli umeanza lini?Kipind odinga ni wazir mkuu ni kipind magufuli ni wazir na ndo kipind magufuli na chadema kwa ujumla ni marafik wa odinga. Na ukiangalia magufuli alikua CCM lkn odinga ODM chama pinzani na ilitegemewa viongoz wa CCM wawe karibu sana na upande wa Kenyata lkn sio odinga. Lkn kutokana urafiki wa magufuli na odinga sio wa kisiasa ndo maana tuliona magufuli ni Rafiki wa odinga ambaye ni Rafiki wa chama chake pinzani. Na hatukuona CCM ikimuonya magufuli kushirikiana na odinga kati odinga ni Rafiki mkubwa wa mahasimu wao kisiasa.
Odinga na magufuli wanaurafiki wa kifamilia na kamwe urafiki huu hauwez kukoma kisa magufuli kawa Rais. Odinga alienda chato kumtembelea chato magufuli baada ya kushinda urais kama Rafiki yake na hata akija Dar saiz atakuja kama Rafiki yake na hawez pokelewa kiofisi. Hamuwez kupanga urafiki wa odinga na magufuli uweje. Najua chadema wako kwenye propaganda chafu za kujifariji kisiasa baada ya kupambana na magufuli kushindwa,saiz wamehamia Kenya. Kila linalofanyika Kenya wao huwa wa kwanza kutoa maoni mazur kuliko hata wakenya wenyewe dhidi ya nchi yao.Toka kuisha uchaguzi 2015 chadema wamekuwa na siasa za CHUKI dhidi ya magufuli na nchi yao kiasi kuwafanya waione Kenya ni bora sana kuliko Tanzania. Leo mwanachadema humkut akipiga kelele zzt za mauaji ya waandamanaji huko Kenya. Wao wanaona ni HAKI kisa wanaouawa ni wafuas wa Rafiki wa Magufuli. Tuna UPINZANI WA KIPUMBAVU SANA na cjui ka nchi zingine za Africa kuna UPINZANI WA KIPUMBAVU kama huu wa Tanzania .
Who says they are not family friends.Acheni marafiki wafarijiane kwenye magumu na marahisi. Msiwatenganishe.. They are not political friends.. They are family friends.
Naona ameenda kumpokea mgeni airport. Sijui protocal zinasemaje? Anyway kuna jambo linaendelea!
Raila Odinga flew to Zanzibar on secret mission hours before Supreme Court upheld Uhuru's win; detailsTaarifa hii sio sahihi yawezekana imepikwa
Ujumbe umekuingia.Duh! nilifikiri utasema Raila sio rafiki wa Magufuli, nilifikiri utasema Raila hayupo Tanzania, kama yote hayo unayakubali then povu la nini.
Urafiki wa Raila na Pombe umeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita,msimchagulie Rais marafiki.
Why Raila went to Tanzania - Salim LonePeleka bea wako huko hayawani wewe
Unafaidika vipi kulazimisha kuwa Raila kaja Dar kwa magufuli na kupost picha za zaman?Tufanye kaja na kaenda kumpokea Airport,Niambie urafiki wa raila na magufuli umeanza lini?Kipind odinga ni wazir mkuu ni kipind magufuli ni wazir na ndo kipind magufuli na chadema kwa ujumla ni marafik wa odinga. Na ukiangalia magufuli alikua CCM lkn odinga ODM chama pinzani na ilitegemewa viongoz wa CCM wawe karibu sana na upande wa Kenyata lkn sio odinga. Lkn kutokana urafiki wa magufuli na odinga sio wa kisiasa ndo maana tuliona magufuli ni Rafiki wa odinga ambaye ni Rafiki wa chama chake pinzani. Na hatukuona CCM ikimuonya magufuli kushirikiana na odinga kati odinga ni Rafiki mkubwa wa mahasimu wao kisiasa.