Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Sasa kuna matawi mengine yapo huko ndani ndani huko sijui wapi porini huko nani atakusikia huko.Seriously? Na chama kitawapokea watu ambao hawajui matawi yao yako wapi! Hata kuulizia wanashindwa. Labda wana mpango wa kuja kuzichana hadharani mbele ya viongozi wa vyama vyao.
Amandla...
Habari za Leo wakuu,
Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.
Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ATI, Wanatafuta kadi za CCM kwa GHARAMA YOYOTE??
Ndivyo walivyoagizwa na mganga wao??!!🤔
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Habari za Leo wakuu,
Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.
Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
Waende wakakabidhi akili zao lumumba kwanza zikafungiwe kabatini
💃💃💃💃💃💃💃tunawakaribisha mkuu!
Habari za Leo wakuu,
Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.
Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
CCM tunaipenda mkuu, tuacheni na CCM yetu.Mtoa hoja Meneja wa makampuni mimi ninafikiria wewe ni mtu wa number ndani ya stock exchange kumbe nawe pia ni wale wale....wenye mafaili pale mirembe hosp. ccm imetawala hii nchi yetu for more than 50 yrs!!!hadi leo maji safi ni shida,elimu bora ni utatanishi tu,halafu middle class kama wewe umeshashiba bcs system's imekulisha unakuja na jokes kama hii,elewa mwenye njaa huwezi kumletea utani au upuuzi kama huu.
Hahah wapakie mkongo mzee.Hivi unajua maana neno (gharama yoyote?)
Haya, waje huku tuwale kisamvu alafu tuwape kadi
Sasa hivi linaongozwa na Spika baada Mwenda kwendazake.Tawi la Mirembe haaaaaa haaaaa.
Maana yake hawa jamaa wameipenda CCM kuliko chochote, hivyo wanazihitaji kadi za Chama.Hivi unajua maana neno (gharama yoyote?)
Haya, waje huku tuwale kisamvu alafu tuwape kadi
Yaani umewashawishi bila kujua wapi kadi zinapatikana? Umewashawishi ukiwa planet gani??Habari za Leo wakuu,
Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.
Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
Hebu waulize kama wapo tayari kwa nilichokuulizaMaana yake hawa jamaa wameipenda CCM kuliko chochote, hivyo wanazihitaji kadi za Chama.