KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
- Thread starter
- #61
Okay! Labda akapime maana anadai kwao hawana hilo tatizo.Carrier haoneshi dalili
Okay! Labda akapime maana anadai kwao hawana hilo tatizo.Carrier haoneshi dalili
Sante kwa ushauri mkuu.Mkuu hapo kwenye rangi umepotosha. Kama mzazi mmoja hana huo ugonjwa wala si carrier na mwingine SS basi watoto watakuwa ni carrier tu na huo ugonjwa hautawasumbua kabisa bali na wao wakitaka kuoa/kuolewa inabidi wahakikishe mke/mume mtarajiwa hana huo ugonjwa pia si carrier wa hizo cells zenye matatizo.
Kinachotakiwa kufanyika hapa ni kwenda kupima damu wote wawili na kuongea na wataalamu wa ugonjwa huu pale Muhimbili kama wako Dar au kwenye hospitali ya rufaa jirani na mkoa wanapoishi.
Duuh! Mpk naogopa.kwa msichana haina shida as long amevuka 22 yrs,
maana huu ugonjwa una htr mtu akiwa below hio age so akivuka maisha yana kua ya kawaida kama wengne kufa inakua ni mipango ya mungu
tatzo linakuja kwa watoto maana ugonjwa ni wa kurithi ni rahisi nao kurithi hvo nao wanaingia kwenye miaka 22 ya hofu
Sante kwa ushauri mkuu.
Mungu huyu jamani mwacheni tu..!Shukrani Mkuu. Kuna uzi humu kuhusu huu ugonjwa baadaye nafasi ikiruhusu nitauweka katika uzi huu. Ila kuna ushauri mzuri sana humu kuhusu ugonjwa huu. Wenzetu walioendelea sasa hivi ugonjwa huu wanautibu kwa mtoto mchanga nadhani mara anapozaliwa tu kumtoa damu yote yenye hizo cells na kumuwekea mpya na hivyo mtoto anakuwa bila ya kuwa na huo ugonjwa. Kuna lingine pia wanafanya ila sikumbuki vizuri limo kwenye huo uzi.
Ndio... Yaani carrier akizaa na carrier mwenzake wana chance kubwa ya kupata mtoto mwenye sickle cell...Duuh! Kwahiyo madogo watakuwa carier!
Tangu leo naanza kuwa makini na huu ugonjwa.Ndio... Yaani carrier akizaa na carrier mwenzake wana chance kubwa ya kupata mtoto mwenye sickle cell...
Sijui kwanini watu hatupimagi hii kitu kabla ya kuoa/kuolewa.
Nilimaanisha kuzaa ni majaaliwa haijalishi unaumwa nini au huumwi! M/Mungu akikupangia uzae utazaaTena kuzaa nako tatizo!
Ooh..! I thought pia kupata mtoto nako shida..! Mungu atupe moyo jiwe make hapa njia panda aisei..!Nilimaanisha kuzaa ni majaaliwa haijalishi unaumwa nini au huumwi! M/Mungu akikupangia uzae utazaa
Ooh..! I thought pia kupata mtoto nako shida..! Mungu atupe moyo jiwe make hapa njia panda aisei..!Nilimaanisha kuzaa ni majaaliwa haijalishi unaumwa nini au huumwi! M/Mungu akikupangia uzae utazaa
Thanks mkuu kwa kunikosoa pia nimeongeza elimu katika hili.Mkuu hapo kwenye rangi umepotosha. Kama mzazi mmoja hana huo ugonjwa wala si carrier na mwingine SS basi watoto watakuwa ni carrier tu na huo ugonjwa hautawasumbua kabisa bali na wao wakitaka kuoa/kuolewa inabidi wahakikishe mke/mume mtarajiwa hana huo ugonjwa pia si carrier wa hizo cells zenye matatizo.
Kinachotakiwa kufanyika hapa ni kwenda kupima damu wote wawili na kuongea na wataalamu wa ugonjwa huu pale Muhimbili kama wako Dar au kwenye hospitali ya rufaa jirani na mkoa wanapoishi.
Ni kweli inahitaji mtu muelewa hasa ,yaani ni sawa sawa na mwanaume mweusi kuoa albino wengi watamshangaaOoh..! I thought pia kupata mtoto nako shida..! Mungu atupe moyo jiwe make hapa njia panda aisei..!
Mungu huyu jamani mwacheni tu..!
Thanks mkuu kwa kunikosoa pia nimeongeza elimu katika hili.
Siyo ugonjwa wa kuogopa? haupo sirious..... Huo ugonjwa ni mbaya sana Mungu aepushie mbali..... Unatakiwa uwe unahudhuria clin mara kwa mara sana kuna dawa unapewa...... Wanasema siyo rahisi sana kuvuka miaka 30...... Kama unao ukifikisha miaka 60 na kuendelea viungo vya mwili vinakuwa havina nguvu tena..... Wengi wanakufa kuanzia miaka 6 kurudi chiniMwanaFA nasikia pia ana sickle cell
Sidhani kama ni ugonjwa wa kuuogopa sana
Ila tatizo linakuja kuwa nasikia unaweza kurithishwa kwa mtoto
Napenda wataalamu na watu wenye uzoefu mniambie ni vipi mtu anaweza kumhandle mtu mwenye sickle cell. Huyu rafiki yangu ameambiwa baada ya kuwa tayari kazama kwenye bwawa la mahaba anampenda sana msichana, isitoshe ni kitu matata kichwani, umbo, upole kiufupi wife materials shida hiyo sasa sicklecell, nasikia kuishi kwao siyo garantee jamaa anamwogopa tangu aambiwe hilo tatizo, mtujuze life span yao pia.
Nitanguliza shukrani.
😳 hii kali, aisee!Ungemwambia jamaa yako amuulize huyo demu wake atakufa baada ya muda gani.!!
Shukrani mkuu.
za hosp, ila basi usinicheck tena mkuuDawa za kienyeji za hospital??