KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
- Thread starter
- #21
Ugonjwa wa kurithi anakuwa na matatizo ya kuishiwa damu.Ni ugonjwa gani huu.
Sipo peke angu
Ugonjwa wa kurithi anakuwa na matatizo ya kuishiwa damu.Ni ugonjwa gani huu.
Sipo peke angu
Imani hiyo mkuu but uhalisia ni nini??Kuna kaka jilani yangu ana huo ugonjwa lakini mpaka sasa ana miaka 36 na watoto watatu anadunda tu na maisha yanaendelea,kifo ni mipango ya Mungu.
Jamani wewe acha tuuhh! Ndugu yangu kachanganyikiwa.Dah!! umenikumbusha mkuu kuna mdada nilitokea kumpenda mwaka 2013 nikiwa bariadi na alikuwa na huo ugonjwa wa sell mundu jamani mapenzi upofu niliambiwa kila kitu kuhusu huo ugonjwa kuhusu huyo mdada lakini sikusikia hata kidogo.
Ila baadaye nilihamia mkoa mwingine kutokana na umbali wa mkoa niliokuwa na yeye alikuwa shule sijawahi kupata mawasiliano.
Zipo, ila sina uhakika sana, kama rafiki yako yupo serious nichekKweli??
Mpka wote muwe carrier otherwize mtazaa mtoto asiye na huo ugonjwa but atakuwa carrier.Hatumkatishi tamaa lakini anything can happen any time. Pia kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye hilo tatizo kwa sababu huo ni ugonjwa wa kurithi.
Umenikumbusha msiba wa rafiki yangu kipenzi aliyekuwa na hilo tatizo.
Hiyo ni ishu ya genes!!!MwanaFA nasikia pia ana sickle cell
Sidhani kama ni ugonjwa wa kuuogopa sana
Ila tatizo linakuja kuwa nasikia unaweza kurithishwa kwa mtoto
Kuzaa ni majaaliwa ya M/MunguTatizo wakati wa kuzaa/kujifungua, mmmmmmmh!
Sio lazima ugonjwa huu utokee kwa watoto wake ila unaweza kutokea hata kwa vitukuu na watoto wakawa wazima kabisaHatumkatishi tamaa lakini anything can happen any time. Pia kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye hilo tatizo kwa sababu huo ni ugonjwa wa kurithi.
Umenikumbusha msiba wa rafiki yangu kipenzi aliyekuwa na hilo tatizo.
Mtoto atakuwa na sickle cell trait kama mzazi mmoja atakuwa na ugonjwa huo, ila kama wazazi wote watakuwa wakumbwa na ugonjwa huo bsi mtoto atarith HbssMwanaFA nasikia pia ana sickle cell
Sidhani kama ni ugonjwa wa kuuogopa sana
Ila tatizo linakuja kuwa nasikia unaweza kurithishwa kwa mtoto
Mtoto anaweza kurithi kama huyo mzazi mwingine ni carrier ila kama mmoja ni normal mwingine ana sickle cell nadhani hakuna shida.MwanaFA nasikia pia ana sickle cell
Sidhani kama ni ugonjwa wa kuuogopa sana
Ila tatizo linakuja kuwa nasikia unaweza kurithishwa kwa mtoto
Kama amevuka miaka 18 na yuko mzima, basi atakuwa na maisha marefu. Wengi huwa hawavuki umri huo. Huyo sijui ana miaka mingapi kwani?asikia kuishi kwao siyo garantee jamaa anamwogopa tangu aambiwe hilo tatizo, mtujuze life span yao pia.
Nitanguliza shukrani.
Mkuu, kama na huyo jamaa yako anakaasili ka sickle cell(mpaka apimwe) ,basi ajiandae kuzika watoto kila wakizaliwa