Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Usichoke shoga angu kwa miaka ya sasa wanaume kama huyo ni wa kuhesabu.

huo ndo ufala wa kuwa na urafiki wa kindezi ndezi na wadada, mm urafiki wangu na wadada ambao co ndugu zangu uko kwenye business na papuchi tu emmyta
 
sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini

alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu
Ha ha ha ha ...........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
 
Habari ya Jumatatu!

Jamani kuna rafiki yangu mmoja waukwee ambae nimemvurugaaa mwenzenu, nimemtibua kiasi kwamba naona kama kazira kabisaa mpaka nakosa raha.
Bado namkumbuka sana nakumbuka ushauri wake na mambo yake mengi mengi tu. I don't know what to do with this friend of mine coz I really missed him so much. I love and misses the time we had together. I miss every moment we shared.He was a teacher mentor and a counselor to me. Amenifundisha kunishauri na kunielekeza mambo mengi sana.

Sasa nimemuudhi na kakasirika hakuna mfano! Yani kakasirika mpaka naogopa!
He was not just a friend, a friend in deed. He hold my hands in every difficult situation in have encountered. Ni mtu wa muhimu sana na mwenye mchango mzuri mkubwa na wenye msingi katika maisha.

What kills me nikwamba; we were so crazy and funny. He makes me laugh and smile always! Mpaka nilijikuta nakua mwenye furaha na amani tele. Kitu cha kuwa makini members think before you act wajameni mdomo ushaponza kichwa huku. Mwenzenu ndo nishampoteza rafiki mzuri hivyo. Though alikua rafiki ila naumia sana mwenzenu.

What should I do?? Help me out members!
The same is happening to me.
 
The same is happening to me.
Pole rafiki.. Ilikuwaje tena.. Mi juzi huyo rafiki kanitafuta WhatsApp lol nivompotezea sasa mpaka haamini na namba yake nilishafutilia mbali na kumsahau kabisa . After mwaka mzima na miezi kibao no communications leo ndo eti mambo.. Nyokko zake nishampata sio rafiki tu he's a suitor Smart911 kabisa Sina habari na mtu miyee
 
Pole rafiki.. Ilikuwaje tena.. Mi juzi huyo rafiki kanitafuta WhatsApp lol nivompotezea sasa mpaka haamini na namba yake nilishafutilia mbali na kumsahau kabisa . After mwaka mzima na miezi kibao no communications leo ndo eti mambo.. Nyokko zake nishampata sio rafiki tu he's a suitor Smart911 kabisa Sina habari na mtu miyee
Mimi ndio nilikua na makosa and now i really want to restore the friendship. Nilimkosea kipindi ambacho nilikua na wakati mgumu sana, wakati mwingine nikiwaza nayeye alipaswa kuelewa situation yangu lakini akawa kichwa ngumu najishauri sijui nimsahau kabisaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom