kashilicious
Member
- Mar 3, 2017
- 79
- 59
sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini
alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu

sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini
alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu

da sikwel bhn..atapata lkn sio km uyo wa mwanzo kizur hakiji mara mbili..so.lzm akubal kumtaka radh tu yataisha tuutapata tu mwinge usijal
Babu habari yako?Basi siku zote ukawa unanidanganya wewe bado bikra... khaaa!!
opportunist at work lolnjo kwangu npo kama huyo jamaa
Poa... mzima?? Mbona umenichunia kule Whatsapp??Babu habari yako?
Hujanitafuta tu mbona nipoPoa... mzima?? Mbona umenichunia kule Whatsapp??
Najua na namba yangu umeshaidiliti... Yani mi nikusms afu uniulize "we nani?"Hujanitafuta tu mbona nipo
Hahaahaaaaa
Najua na namba yangu umeshaidiliti... Yani mi nikusms afu uniulize "we nani?"
namuachia mungu...
Habari ya jumatatu!
Jamani kuna rafiki yangu mmoja waukwee ambae nimemvurugaaa mwenzenu, nimemtibua kiasi kwamba naona kama kazira kabisaa mpaka nakosa raha.
Bado namkumbuka sana nakumbuka ushauri wake na mambo yake mengi mengi tu. I don't know what to do with this friend of mine coz I really missed him so much. I love and misses the time we had together. I miss every moment we shared.
He was a teacher mentor and a counselor to me. Amenifundisha kunishauri na kunielekeza mambo mengi sana. Sasa nimemuudhi na kakasirika hakuna mfano! Yani kakasirika mpaka naogopa!
He was not just a friend, a friend in deed. He hold my hands in every difficult situation in have encountered. Ni mtu wa muhimu sana na mwenye mchango mzuri mkubwa na wenye msingi katika maisha.
What kills me nikwamba ; we were so crazy and funny. He makes me laugh and smile always! mpaka nilijikuta nakua mwenye furaha na amani tele.
Kitu cha kuwa makini members think before you act wajameni mdomo ushaponza kichwa huku. Mwenzenu ndo nishampoteza rafiki mzuri ivo.
Though alikua rafiki ila naumia sana mwenzenu.
What should I do?? Help me out members!
Khaaaa...!!!Dhambi hizo kila saa unamwachia muumba vyote,beba mwenyewe
.....i think time will bring us together again!Mi nimekusamehe lakini sitakusahau...