Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa...
yeah..rud tu taratibu jioneshe kwake umejutia kosa ulilofanya usione aibu kwake .... upendo ulionao kwake udhihilishe hpa I mean ule wa mahusiano wa km rafik wa karib..ila km unaupendo nae zaid ya urafik wa karib na unaaamin oneday anaweza kuwa wako dhidisha maradufu...usiogope wanaume cc ni wepec kusamehe sana..atakuelewa tu nadhan.
 
Alikutongoza Ukamgomea. Iyo Ndo Shida. Unakuta Demu Anakomaa Eti Tuwe Friends,Waaah!Ili Uje Unihadithie Ulivyokutana Na Jamaa Mwingine Weekend Na Akakumbato. Sina Rafiki Wa Kike As A Best Friend,Atleast A FWB.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom