Broo umesoma uzi ni wa mwaka gani?Muombe msamaaah ataelewa tu kama ulimkosea lkn .
Hivi kumbe Mahondaw alibadili username na sasa anajiita Antonia?😂Huwezi amini kama hili jahazi limeshazama na sasa imebaki story! 😂
Maisha yako kasi sana!Hivi kumbe Mahondaw alibadili username na sasa anajiita Antonia?😂
Toka jana naona nyuzi zake zinatrend sana, kwani kuna nn mkuu😊Maisha yako kasi sana!
Ni swali fikirishi haswa ukizingatia binaadamu tulivo. Pesa isiwe chanzo chakuta kuutoa uhai wa mtu!Toka jana naona nyuzi zake zinatrend sana, kwani kuna nn mkuu😊
Mkuu, hebu funguka basii, wamefikia hatua ya kutaka kudhuriana?Ni swali fikirishi haswa ukizingatia binaadamu tulivo. Pesa isiwe chanzo chakuta kuutoa uhai wa mtu!
Unabadilije username jamani?Hivi kumbe Mahondaw alibadili username na sasa anajiita Antonia?😂
Nachojua ilikuwa hot couple humu ndani, bidada alikuwa kaolewa na mjeda, ila njemba ilikuwa single.... Huu uzi nadhani aliandika bidada baada ya kumkazia jamaa mchezo, jamaa ndiyo akazira.Unaifahamuje historia yao ili niweze kukupa feedback nzuri.
Mkuu, wewe ndiye mume wake halisi?Roho inauma hadi basi siamini kabisaaa!
Mkuu mapenzi ni uchizi?Mkuu, wewe ndiye mume wake halisi?
Wewe ndiye mjeda?