Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Kama vile unavyonisusa yani unataka tuishie kama hawaMapenzi nyoko,
Kama vile unavyonisusa yani unataka tuishie kama hawaMapenzi nyoko,
Naona huyu mwamba mwenye mali amaemua ajitokeze kumwaga nyongoToka jana naona nyuzi zake zinatrend sana, kwani kuna nn mkuu[emoji4]
Pole sana mkuu nikikumbuka warda alichonifanya natamani kuliaRoho inauma hadi basi siamini kabisaaa!
Mapenzi si uchizi mkuu..Mkuu mapenzi ni uchizi?
Mara paap[emoji41]Kama vile unavyonisusa yani unataka tuishie kama hawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu sinaPole sana mkuu nikikumbuka warda alichonifanya natamani kulia
Hujawahi penda, ukatumia muda wako, nguvu zako na pesa! Acha mkuu inauma sana.Mapenzi si uchizi mkuu..
Ila ukiruhusu yakuendeshe unakuwa chizi..
Mkuu hujanijibu swali langu, wewe ni mjeda wake? Ama ndiye smart kwenye id ingine? Ama ni rafiki wa kati yao?Hujawahi penda, ukatumia muda wako, nguvu zako na pesa! Acha mkuu inauma sana.
Wewe umenieleweje kwanza tuanzie hapo?Mkuu hujanijibu swali langu, wewe ni mjeda wake? Ama ndiye smart kwenye id ingine? Ama ni rafiki wa kati yao?
Ama wewe unampenda pia huyo Antonia.
Unatunfyuzi mkuu...Wewe umenieleweje kwanza tuanzie hapo?
Sasa kama sio lava unaumia nini [emoji2][emoji2]We were not lovers jamani
Unatunfyuzi mkuu...
Mimi nilichoelewa mmoja kati ya hawa watu kamfanyia mbaya mwenzie..
Sawa sawa, jambo jema..Hapana hakuna ubaya kati yao Sierra One
Sawa sawa, jambo jema..
So ni wewe ndiye unayehusika na haya malalamiko yako?
Antonia kakufanyaje?
😄😄😄😄
Sawa ngoja niende kwenye uzi wa selfika!😄😄😄😄
Mkuu nadhani sasa ulale tuu