Duhh Pole sana jamani... Mimi halikuwa kosa in such... Shida nikwamba he was married afu anataka mchezo haaaaa sinaga huo ujinga kabisa.....Mimi ndio nilikua na makosa and now i really want to restore the friendship. Nilimkosea kipindi ambacho nilikua na wakati mgumu sana, wakati mwingine nikiwaza nayeye alipaswa kuelewa situation yangu lakini akawa kichwa ngumu najishauri sijui nimsahau kabisaaa.
[emoji87]Safi sana..
Mbona hujam'tag Mahondaw?Safi sana..
Mbona hujam'tag Mahondaw?
Hahahahaha... Watashindana lakini hawatashinda love
Ndo wewe umenikalia kooni hivi?? Tangu majuzi ni kufukua makaburi jamani
🤣kuna kitu wanakitafuta si bureTangu majuzi wanafukua si mchezo