Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,945
- 193,990
Una uhakika gani mimi ni mtu... Ndiyo maana unanijibu...Sijanuna mimi.. Nikinuna au kukasirika huwaga siongei wala kujibu mtu
Ila unalia tu.. Na kuvimbisha mashavu...
Una uhakika gani mimi ni mtu... Ndiyo maana unanijibu...Sijanuna mimi.. Nikinuna au kukasirika huwaga siongei wala kujibu mtu
Just apologise and he will accept!! Men are so weak!Sijanuna mimi.. Nikinuna au kukasirika huwaga siongei wala kujibu mtu
Bado sijasema... Siyo kwa kichwa ngumu kama wewe..Ushavisema mbona au hujajua??
Acha kujifanya nakuonea...Sawa tu.. Wee nitukane matusi yote inshallah yote kheri
Si kama hivyo unanishtakia kwa Mungu.. Yes nakuonea...Nani kasema unanionea??? Umeanza uzushi ee???
I know u better than u know yourself... Over..Opinions are not facts!
What are those emoji for...😉😉😉😉😉😉😉😉😉
Unacheka nini sasa...unatakiwa kuchukia na siyo kucheka...Hahahaahhahahaahahahahaha sio mbaya pia