Jahazi?Huwezi amini kama hili jahazi limeshazama na sasa imebaki story! [emoji23]
Ndio jahazi!Jahazi?
Bahari/ziwani?Ndio jahazi!
Kwamba msaliti wewe kwa tamaa za muda mfupi?Bahari/ziwani?
Hata sikuelewi,Kwamba msaliti wewe kwa tamaa za muda mfupi?
Huwezi kuelewa maumivu ya penzi haswa la uongo mwingi! InaumaHata sikuelewi,
Looooh linaumaje wakati ushagundua ni la uongo?Huwezi kuelewa maumivu ya penzi haswa la uongo mwingi! Inauma
Pole Sana[emoji50]Laiti ningeliweza kuona future haya yote yasingetokea!
Hela zangu na muda wangu ndio kinauma zaidi kwanini hukuwa muwazi kwanzia mwanzo?Looooh linaumaje wakati ushagundua ni la uongo?
Duuuuh pole.Hela zangu na muda wangu ndio kinauma zaidi kwanini hukuwa muwazi kwanzia mwanzo?
Mapenzi nyoko,Abaki na zake na mie nibaki na zangu! Wala asihangaike na mipasho siri zake nnazo nyingi sana!