Rafiki wa Mume wangu............

Hii ya leo kali ! Utamzalia ama nini?
 
Nawaona Team Kataa Ndoa wakijipakulia tu minyama πŸ˜‚πŸ˜Ž
 
Wewe na mumeo ni wambea, malimbukeni ni mafala. Mzalie kama wewe ni fala hivyo. Ngoja aoe uone utakavyojilaumu au siri siku ikifichuka mumeo akakutia kilema au kukuuua. Je, wewe ni mchaga maana ndiyo wenye hizo?
Ungesoma hadi mwisho ungeelewa.

Imekopiwa mahali imeletwa hapa tusome tujifunze. Sijui ushauri wako unamlenga nani hasa
 
Ukiona uzi wa mtu kabla hujacoment vibaya na hana mazoea na wewe. Huna haja ya kuandika vitu vya ajabu ajabu.

Wengine hatuna mud za kigomvi. Tunapenda amani.

Tunavibe na wapenda amani au kufurahi na wenzetu.

Hivo tu.
Sasa huo ni mtizamo wako, insecurities. Hapo ugomvi uko wapi kama sio kujishtulia kwako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…