Rafiki wa Mume wangu............

Yani na nyie kumbe huwa mnatamani mngeweza kuwa na waumewenza muwapange, ukimchoka huyu bwana mkubwa kakuzingua, unakwenda kwa bwana mdogo?

Au hiyo ni sisi tu tunatamani bi mkubwa na bi mdogo?
Hapana hatutamani
 
Yaani inashangaza sana namna ambavyo huyo mwanamke anavyotafuta ushauri na uhalali wa kuivunja au kuivuruga ndoa yake.kwa udi na uvumba,
kisa tu alifanikiwa kufanya uchafu wote alioufamya bila mumeo kugundua.

Ukiskia kujiandalia aina ya maafa yako mwenyewe, ndio huko sasa, mwanamke anafanya bidii kuifanya dhambi kua haki na halali isikostahili.


Huruma ya Mungu na iwe pamoja nasi sote sasa na hata milele.
Aimen 🙏
 
Na ukiwa na mwanaume wa hivi unapaswa kuchukua hatua zipi?
 
Acha ujinga mara moja, au mzalie ujute.
👇👇👇👇👇👇

Copied n pasted
 
ila ukiwa unajaza Makura feki kwenye kisanduku Mungu huwa hana huruma😹😹.
Gentleman,
labda uwafafanulie wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo hiyo porojo yako inamaanisha nini , au ndio ushauri wako kwa huyu bidada anatafuta namna bora zaidi ya kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe?🐒
 
Wewe na mumeo ni wambea, malimbukeni ni mafala. Mzalie kama wewe ni fala hivyo. Ngoja aoe uone utakavyojilaumu au siri siku ikifichuka mumeo akakutia kilema au kukuuua. Je, wewe ni mchaga maana ndiyo wenye hizo?
 
Visa vya wanandoa kutoana roho havitaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…