Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,970
- 10,462
Mnoo. Wanaogopa sana mediaAiseee,awamu ya kishamba sana hii!
Mnoo. Wanaogopa sana mediaAiseee,awamu ya kishamba sana hii!
TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa hayati Benjamin Mkapa.
TCRA imesema mtangazaji wa kipindi aliruhusu kurushwa habari iliyoegemea upande mmoja kwa Lissu kutoa tuhuma na kulalamika kuwa serikali ilimnyima nafasi ya kutoa heshima za mwisho bila kumtafuta msemaji wa serikali ili aweze kutolea ufafanuzi tuhuma hizo.
RFA wanatuhumiwa kukiuka kanuni Na. 15(2)(b) na (c) na 16 za mawasiliano ya kielektroniki na Posta(Maudhui ya Utangazaji na Televisheni) 2018.
Najua upo kazini. Lakini najua pia njaa haina chama. Kwa hiyo nina uhakika uchaguzi huwapi kura CCM. Ila usiwe na wasiwasi naogopa nisijekukuharibia kazi yako.
Nakutakia kazi njema ya kusifia.
Njaa haina chama.
Unaamini ulichoandika mkuu? Ni mawazo yako au ni mawazo pole pole? Na kama ni mawazo yanayo weza aminika, hapa unatushauri tufanane na ‘mabeberu’?Watanzania watakwambia media zinaonewa wapitie hizo kanuni za regulator wa mabeberu ☝sheria zetu zina afadhali. Upuuzi BBC unaofanya africa awawezi thubutu kuufanyia kwao...
Main stream media kwa sasa hazina impact kubwa kama social networks tuhamie hukoWameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli...yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.
Miaka yote vimekuwa vikisikika Tanzania kwanini viwe chanzo cha mitafaruku leo.Mkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Social networks tatizo wengi hawana Smart phones. Bando pia ni tatizo.Main stream media kwa sasa hazina impact kubwa kama social networks tuhamie huko
Ni Makamba ama Zitto aliyetoa statement hiyo? I can't recall. Ila nakumbuka Januari Makamba naye aliandika mudhui kama hayo kwenye twitterNchi imekabidhiwa washamba - Zitto
Alitoa Zitto , February Marope alisema kwa lugha ya picha.Ni Makamba ama Zitto aliyetoa statement hiyo? I can't recall. Ila nakumbuka Januari Makamba naye aliandika mudhui kama hayo kwenye twitter
Wewe ndio wakijiuliza hilo swali unaamini TCRA wamekosea kweli au unapenda kupinga tu.Unaamini ulichoandika mkuu? Ni mawazo yako au ni mawazo pole pole? Na kama ni mawazo yanayo weza aminika, hapa unatushauri tufanane na ‘mabeberu’?