Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.

yah tic true wasukuma most boyz then knw how 2 handle xanaaa thn wanagreat love acompnyn true one
 
Wifi,kaka zangu hawana noma yaani,ila tu usiwe mchoyo maana wasukuma wana tabia ya kujazana jazana ila kama unaolewa na kwangulija do not worry!kama unaolewa na Tangi kazi unayo mama usiwe mchoyo utapika fugo kubwa ya ugali jiandae.
 
dooo....uwe na moyo wa chuma wanapenda sana nyumba ndogo...ila wanajar sana nyumba zao..wanang'ata na kupuliza
 
Kwani hakuna ambao hawajaoa? Halafu tumesikia wanapenda michepuo, tena kwao ni kawaida sana, ni kweli?

sana ila akikufeel sana na wewe ukawa na tabia zinazoridhisha huwezi kuona anachepuka, ukionyesha wewe ni mzuri na kwamba haumjali sana, mchepuko ndo solution ya wale wanaojifanya wao ndo wao.
 
Sio kweli..wengi ni madomo zege hivyo akibahatika kuwa na mahusiano lazima ang'ang'anie kwani kwake kuanzisha mahusiano mapya ni shida.

Mkuu BRN ntafanya research then ntakuja na mrejesho very soon
 
tinna naomba nijuze vizur hapa umenishtua sana

Baada ya kupata mtt tegemea kusikia bwana ana mke alie lipiwa mahari kabisa,,,,,,,,
Mume akiwa msomi atafanya ki staarabu lkn akiwa ngombale mwilu huyo mke utaletewa ndani ya nyumba..
As time goes on atakuona we ni mlezi wa familia na kusimamia biashara au mashamba na mifugo so atatafutwa wa kula nae bata na kusafiri nae pia bi mdg permanent lazima awepo atakae kuwa anatambulishwa kwa rafiki na ndugu.
 
mmmh tinna cute? wachache sana wenye tabia hiyo asee..mie nishaskia mmoja tu mpaka sasa
Baada ya kupata mtt tegemea kusikia bwana ana mke alie lipiwa mahari kabisa,,,,,,,,
Mume akiwa msomi atafanya ki staarabu lkn akiwa ngombale mwilu huyo mke utaletewa ndani ya nyumba..
As time goes on atakuona we ni mlezi wa familia na kusimamia biashara au mashamba na mifugo so atatafutwa wa kula nae bata na kusafiri nae pia bi mdg permanent lazima awepo atakae kuwa anatambulishwa kwa rafiki na ndugu.
 
Last edited by a moderator:
yah tic true wasukuma most boyz then knw how 2 handle xanaaa thn wanagreat love acompnyn true one

Hili jukwaa limevamiwa na #teamFB . Kwanini usiandike vizuri kwa ustaarabu, simu ni yako na uko Tanzania nchi yenye amani tele, sasa sijui haraka ya nini.
 
they are great lovers for sure

ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula

noted with thanks.....sasa lovers ni both ways wanawake na wanaume kwamba wanapenda sannaaaaaa au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom