Hamna cha ugreat lover wala nini,wanaume wa kisukuma ni mazoba.
Mhmhmhmhmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhh hiyo kaskazini ina wengi ujue hata kina mangi kina masawe kina kimario mushi asenga wote kaskazini ujuedear Viva89,
oleho??
surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
Umesema ukweli mtupu, there you are kwakweli ww umeishi nao, mimi mwenyewe naishi usukuman na hiyo ndio sifa yao kubwa.tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo UNAFIKI utawaondolea sifa yao
Kumbe ndiomana!Wasukuma wanajua sana kupenda na ni waaminifu.
Ila akigundua una msaliti hata tu, hata uombe vipi msamaha hawaregezi kamba
Kwa kifupi ni waaminifu mno, ila wanatarajia na wewe uwe mwaminifu pia
jaribu kuwaelewa wanapendelea nini mimi kwa uzoefu wangu ni kuwa wanapenda sana kuheshimiwa hawapendi dharau ukimkera ni wakali balaa pia hawapendi kabisa kubishana na mwanamke ndivyo walivyo ukiwaheshimu watakupa kila unachotaka watakupa wanawaamini sana wake zaohahahahaaaaaa hii nimeona kiasi
Wasukuma kwa kupenda tu nawapigia salute, ila kwa vimichepuko tu hawajambo kwa kweliWasukuma wanajua sana kupenda na ni waaminifu.
Ila akigundua una msaliti hata tu, hata uombe vipi msamaha hawaregezi kamba
Kwa kifupi ni waaminifu mno, ila wanatarajia na wewe uwe mwaminifu pia
Naendelea kupata pichajaribu kuwaelewa wanapendelea nini mimi kwa uzoefu wangu ni kuwa wanapenda sana kuheshimiwa hawapendi dharau ukimkera ni wakali balaa pia hawapendi kabisa kubishana na mwanamke ndivyo walivyo ukiwaheshimu watakupa kila unachotaka watakupa wanawaamini sana wake zao
Ha haa ila michepuko ni tabia ya mtu buanaWasukuma kwa kupenda tu nawapigia salute, ila kwa vimichepuko tu hawajambo kwa kweli
Teh ila kwa wasukuma wengi Wanajitahidi mno hilo eneo (sio wote usije ukanidondokea kwa presha hapa) . Kama ambavyo tunasema wengi wao wanajua kupenda, basi wapo na ambao ni makauzu hatareee. I LOVE IS WASUKUMAHa haa ila michepuko ni tabia ya mtu buana
Una bahati umesema sio wote maana ningeandamana mpaka hapo ulipo teh,Teh ila kwa wasukuma wengi Wanajitahidi mno hilo eneo (sio wote usije ukanidondokea kwa presha hapa) . Kama ambavyo tunasema wengi wao wanajua kupenda, basi wapo na ambao ni makauzu hatareee. I LOVE IS WASUKUMA
c.c atoto