Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Jamani we masaiAtakupa kila utakacho ila
THEY ARE NOT ROMANTIC

Jamani we masaiAtakupa kila utakacho ila
THEY ARE NOT ROMANTIC

Nani kakudanganya kuwa ni waaminifu? acha kudanganya watu, yaani sisi tunaoishi nao ndio tunawajua vzr wanapenda sana chini sio pole pole, labda sijui unazungumzia uaminifu ganiWasukuma wanajua sana kupenda na ni waaminifu.
Ila akigundua una msaliti hata tu, hata uombe vipi msamaha hawaregezi kamba
Kwa kifupi ni waaminifu mno, ila wanatarajia na wewe uwe mwaminifu pia
Asante Heaven sent kuwatambua wasukuma karibu kwetu Mwanza uje unywe maziwa ya ng'ombe wa kienyeji na samaki watamu na ugali mgumu wa mtama mwekunduTeh ila kwa wasukuma wengi Wanajitahidi mno hilo eneo (sio wote usije ukanidondokea kwa presha hapa) . Kama ambavyo tunasema wengi wao wanajua kupenda, basi wapo na ambao ni makauzu hatareee. I LOVE IS WASUKUMA
c.c atoto
Nani kakudanganya kuwa ni waaminifu? acha kudanganya watu, yaani sisi tunaoishi nao ndio tunawajua vzr wanapenda sana chini sio pole pole, labda sijui unazungumzia uaminifu gani
Teh Ahsante mpendwa, kwa kiasi nimeishi kidogo usukumaniAsante Heaven sent kuwatambua wasukuma karibu kwetu Mwanza uje unywe maziwa ya ng'ombe wa kienyeji na samaki watamu na ugali mgumu wa mtama mwekundu
uliwahi kuishi usukumani sehem ipi Heaven sent?Teh Ahsante mpendwa, kwa kiasi nimeishi kidogo usukumani
Nzega na Mwanzauliwahi kuishi usukumani sehem ipi Heaven sent?
poa kwa sasa unaishi wapi nimefurahi mno kuona kuwa wapo watu wanaothamini kabila zingine ni jambo jemaNzega na Mwanza