Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

mmmh tinna cute? wachache sana wenye tabia hiyo asee..mie nishaskia mmoja tu mpaka sasa

Me movie naiona live kwa sister angu kaolewa na wasukuma,,,,, all in all ina depend na tabia ya mtu husika.
 
Last edited by a moderator:
He he he, ulivuka mstari wake, sasa ushasikia ana ukurya ndani afu unaulia nini?

Lakini 6*6 ilikuwaje, be honest jamani:nod::nod::nod:
hehehe kongosho hamna ktu kwenye 6*6 zaid ya kusema tenga nirenge!noumer sana!nlijuta sana
 
They are so romantic ...
Jitahid kumheshimu, kumpenda, uaminifu utakula mema yake sometimes ni wapole hadi kupitiliza
Nashindwa kuelewa, hivi ni wote wako hivyo au inategemea msukuma mmoja na mwingine\? mi naona kama maajabu . Are they identical twins?
 
Mi ninae wangu ananipenda had basi, msikivu, anajua kujali sasa ndani ya 6 by 6 ndo usiseme ila sasa ananishangaza na vjumba vdogo maana ana kila dalili kuwa anavyo
 
Hii mijamaa inajua kuhonga ndo maana wanawake wa wanyaturu na wanyamwezi hujazana Shy na Mwza siku za mavuno
 
best lovers on this universe, lakini vichepuo vya hapa na pale ni kawaida kwao. Ila kupendwa, kudekezwa, kuhongwa hadi utakimbia mwenyewe.

Ng'wana lemi, kanzungu nkoyi.
hii quote yako na yule aliesema vichepuo vya hapa na pale, na yule aliesema ukimchambua bata humli nawaunga mkono asilimia mia.

Pia na add, hao watu upbringing zao ni kunyenyekea so utanyenyekewa usije ukalogwa ukajua uko mwenyewe wallahi nakuapia mnawezwa mkagegedwa na msukuma mmoja tu mtaaani, mwanawene nimewakubali hao watu!!!!! Uamuzi ni wako lakini ukweli ni huo, mimi uzoefu ni mimi mwenyewe, utake usitake ukweli ni huo, upbringing mwanawene!!!!
 
Nashindwa kuelewa, hivi ni wote wako hivyo au inategemea msukuma mmoja na mwingine\? mi naona kama maajabu . Are they identical twins?

wengi wao wana tabia zilizofanana..wachache sana kwenye mapenzi ndo wapo tofauti.
 
Naona mnawaongelea uzuri wa wanaume tu wa kisukuma...ktkt mapenzi....

VIPI KUHUSU WANAWAKE WA KISUKUMA?
 
Mi ninae wangu ananipenda had basi, msikivu, anajua kujali sasa ndani ya 6 by 6 ndo usiseme ila sasa ananishangaza na vjumba vdogo maana ana kila dalili kuwa anavyo

Mnh no perfection under the sun mama
 
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.

Yeah, kweli ni great lovers kwa maana ya kupendapenda hovyo hovyoo hata kama wameoa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom