wako overrated eeh
mke wangu ambaye amenizalia watoto wa kutosha, nilimtoa toka kwenye kabila na mkoa unaosifika kwa umalaya, nilimuoa akiwa na 25 years, lakini alikuwa bikira, mimi ndio nilimuanza. sikuamini macho yangu. tabia mbaya ni zao la rohoni sio mwilini, hata hao unaofikiri wanatoka kabila malaya Mungu akiwaponya wanaweza kuwa wazuri kupita wengine.Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
Most of human being tunatabia ya kujua value ya kitu baada ya kuondoka....ni kweli wapo wanaume/ wanawake ambao wanawatesa wapenz wao ila wanajutia sana hizo mistakes ila washachelewa.
hehehe kongosho hamna ktu kwenye 6*6 zaid ya kusema tenga nirenge!noumer sana!nlijuta sana
wana uwezo wa kuhimili vishindo panapo 6x6 au ni wazembe hawawezi kitu
bestito hebu nipe stori kidogo juu ya hili
wamejaaliwa maumbo tena imara yenye nguvu problem inakuja kwenye matumizii ni shidaaa hawajui kutwangwaa vizur matokeo yake karaha na maumivu..ngoja nikuitie miss chagga anawajua vizur pia..
Ila wana govinda! Just saying
dear Viva89,
oleho??
surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
Inataka moyo mgumu kuvumilia hayo.Baada ya kupata mtt tegemea kusikia bwana ana mke alie lipiwa mahari kabisa,,,,,,,,
Mume akiwa msomi atafanya ki staarabu lkn akiwa ngombale mwilu huyo mke utaletewa ndani ya nyumba..
As time goes on atakuona we ni mlezi wa familia na kusimamia biashara au mashamba na mifugo so atatafutwa wa kula nae bata na kusafiri nae pia bi mdg permanent lazima awepo atakae kuwa anatambulishwa kwa rafiki na ndugu.
Kuna watu wanafanyiwa promo hum ndani hadi inaleta kiungulia......hebu anzeni kulipia matangazo hayo wajameni
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo UNAFIKI utawaondolea sifa yao