engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Huuuh! Hujaona nyuzi za kumdondokea FaizaFoxy nini? Zaidi ya moja!
Hicho kihirizi chako sijaona mpinzani wake bado!
Ule namba nyhafu gete ubhebhe
Hehehe. . . hichi ni spesho.
Hhhhmm. . . embu nitafsirie. . .
Wewe hebu nenda kule kwako bana....Masaki naye kafunguka!
Nitafsirie kwanza. . .
Hicho kihirizi chako sijaona mpinzani wake bado!
Ule namba nyhafu gete ubhebhe
Wewe ni namba chafu...kwa kizungu 'the hottest chick in the game'
mimi hujaniona?
nhyafu hangi?🙁
Iti giki ya pe gete!! 🙂
mimi hujaniona?
Embu acheni hizo bana. . . .Entuzu ulu ung'wela umnho ale namba nhyafu ili giti ung'wela ale nsoga. Sasa lulu akanike kenaka unene nakatogilwe gete. Emazuli nagalota nalekalya....hiiiiii lekaga nkoi. Kanonu gete!!!!
Entuzu ulu ung'wela umnho ale namba nhyafu ili giti ung'wela ale nsoga. Sasa lulu akanike kenaka unene nakatogilwe gete. Emazuli nagalota nalekalya....hiiiiii lekaga nkoi. Kanonu gete!!!!
He he he he he, heloo maza.
Naseka mpaka nuseselwa maliwa.
huu ni wehu at nth degree.
Acheni ukabila bana. . . .He he he he he, heloo maza.
Naseka mpaka nuseselwa maliwa.
huu ni wehu at nth degree.
Teh teh teh....sasa usizukawela, sawa? Uku ukawela kagudaka.
Teh teh teh....sasa usizukawela, sawa? Uku ukawela kagudaka.
Acheni ukabila bana. . . .
Nitafsirie kila kitu kwanza ili na mimi nijifunze alafu ntakukubalia kwa kilugha chenu kuonyesha msisitizo.Sirudii tena,
Ni huyu mchokozi
sasa vipi, unanikuabli ?
Nataka niwe kompetita mzuri sana.
Yaani siku hizi humu full kufunguka tu.
Mtu ukiona noma kufunguka na ID yako ya siku zote unakuja tu kivingine.
Mr. Mikael eti kajiunga leo leo na bandiko la kwanza kafunguka moja kwa moja!